AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
- Thread starter
-
- #21
Kumbeeee..duhHahahaha anamkuna kivingine we vp bwana?
U never know..labda inaweza...
Anakiwango cha kawaida cha kuisaidia timu pale anapoamka vizuri...ila si kwa wa kiwango hikooo hadi DAB amwagie mapesa ..while kuna kina CCC wako achia mbali wachezaji wengine bora zaidi..We kiwango cha manula hakijakukuna???
Ila huenda pesa ikawa chambo cha kumvuta tu..then baadaye kinachotafutwa na DAB kikapatikana...
Hii kitu ndio Mzee Baba wa Mtama anayetamani uJiwe anaiita KAZI na Bata.
Thread closed then
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weyeeeeeee Mungu anakuona Best. Jamaa anaumezea mate msambwanda.
Manula anapaswa aache Mara Moja kumkuna mkuu wa mkoa
Hahahah anamkuna sana kwahio
Mwisho wa Comments
jamani......si Makonda mwenyewe kakiri "anakunwa" na Manula?Wadau kama kichwa kisemavyo..napatwa ukakasi kutafakari juu ya hali ya ghafla ya mahaba na ukaribu anaojaribu kuuonyesha Mkuu wa Mkoa was DSM na goli kipa wa Simba Aishi Manula..
Alianza kumsifia (japo kusifia sio dhambi) baada ya mechi na TP Mazembe Congo ambapo DAB alisema kiwango cha Manula kilimkuna hivyo angetoa zawadi..(japo kiuhalisia sidhani kama Manula alionyesha kiwango hiko cha uwezo.
Jana kwenye tuzo za Mo Simba Awards ..DAB ikasemekana angetimiza ahadi ya kumtunuku Manula zawadi yake ya kiwango kizuri kwenye game na Mazembe.(zawadi ilitangazwa milioni 5 na MCs wa sherehe hizo)
DAB alipopewa nafasi kutoa tuzo..akasema kuwa ataongeza pesa hiyo kutoka milioni tano hadi 10 sambamba na kutoa milioni 1 kwa kila mshindi wa tuzo..
Sababu za kuongeza pesa hiyo..eti kiwango cha Manula kimemkuna ghafla...
Atukatai mchezaji kupewa pongezo anapofanya vyema..but why inakuwa kwa staili hii??
Na hisi kuna..... Kanaendela kati ya hao wawili...
Duh..kumbe ndio hivyojamani......si Makonda mwenyewe kakiri "anakunwa" na Manula?
kama "kakunwa" vizuri, then kuna ajabu gani kwa "mkunaji" kuwa rewarded na "mkunwaji"?
ama mimi ndiye sijaelewa hapa??!