Kodi zetu zinatafunwaa vilivyo, Makonda atatoa zawadi ya Mil 10

Kodi zetu zinatafunwaa vilivyo, Makonda atatoa zawadi ya Mil 10

kule kwetu MWANERUMANGO huwa wanavishwa ushanga mmoja!
Kisha kunwa anakupima, kijana mashallah, to to sehemu.. shepu, umbo namba nane utadhani aliyokuwa mtoto alivishwa Uzi kiunoni ili shepu ikatike
 
Wadau kama kichwa kisemavyo..napatwa ukakasi kutafakari juu ya hali ya ghafla ya mahaba na ukaribu anaojaribu kuuonyesha Mkuu wa Mkoa was DSM na goli kipa wa Simba Aishi Manula..

Alianza kumsifia (japo kusifia sio dhambi) baada ya mechi na TP Mazembe Congo ambapo DAB alisema kiwango cha Manula kilimkuna hivyo angetoa zawadi..(japo kiuhalisia sidhani kama Manula alionyesha kiwango hiko cha uwezo.

Jana kwenye tuzo za Mo Simba Awards ..DAB ikasemekana angetimiza ahadi ya kumtunuku Manula zawadi yake ya kiwango kizuri kwenye game na Mazembe.(zawadi ilitangazwa milioni 5 na MCs wa sherehe hizo)

DAB alipopewa nafasi kutoa tuzo..akasema kuwa ataongeza pesa hiyo kutoka milioni tano hadi 10 sambamba na kutoa milioni 1 kwa kila mshindi wa tuzo..

Sababu za kuongeza pesa hiyo..eti kiwango cha Manula kimemkuna ghafla...

Atukatai mchezaji kupewa pongezo anapofanya vyema..but why inakuwa kwa staili hii??

Na hisi kuna..... Kanaendela kati ya hao wawili...
Atatunikiwa na biriani
 
Back
Top Bottom