Kodi zetu zinatafunwaa vilivyo, Makonda atatoa zawadi ya Mil 10

Siyo kwamba mtoa mada hana jibu,jibu analo ila anataka tumsaidie kufumbua mdomo lakini hakuna aliye tayar baki kuwa bubu hivyo hivyo......
 
Mtu keshasema mwenyewe amekunwa wewe unataka nini tena ?
 
No one knows...

Maybe because is the president's favorite he creates scaring atmosphere for big business men in town so therefore in order for them.to be safe and doing their business safely and peacefuly they have to do something..you understand now khantwe?? Leave other deals of the government people like him, i think you have heard CAG report..money wasted here and there unafikri zinaenda wapi..to people like him
Anapata wapi?
 
Kwamba unataka kusema?? Ila haiwezekani bwana
 
mkunwa kapata mkunaji........kwani Makonda hana faragha jamani?.....jibu kwa mleta mada ni rahisi tu....'Manula anamkuna vizuri au anamfikisha kileleni RC Makonda "
 
Sidhani na sijui kama anategemea mshahara..ana pesa za kumwaga ..anawweza kupata pesa anytime anywhere
si kuna hela za vitambulisho vya wamachinga?jamaa ni naibu Rais anajichukulia atakavyo na kuzitapanya si unaona mindinga ile ya kifahari? the guy is rich.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…