Kodi zetu zinatafunwaa vilivyo, Makonda atatoa zawadi ya Mil 10

Hivi wakikulana faragha nalo tatizo?
 
"Nilipokuwa nimekaa kwenye kiti natafakari,nikaunda kamati ndogo papo kwa papo, ambapo nao wamechangia kiasi cha fedha, hivyo spika usije ukaniundia tume, kuhusu hizi hela,zinetoka wapi, waje jumatatu sa NNE asubuhi ofisin kwangu, niwape hela zao" Mh, Paul Makonda akimwambia Spika wa bunge Mh.Job Ndugai
 
Mwizi mkubwa huyuu
..Kamati danganya toto tuu mwehu huyuu
 
Acha kuteseka mtoa mada! We jali mambo yako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee jamaa kwa hiyo unakopaga pesaa ukawagawiee watu????[emoji119][emoji119][emoji119]
Kwani wanaotoa misaada au kurejesha faida kwa jamii ulishahoji walipataje mitaji??
 
Kwani wanaotoa misaada au kurejesha faida kwa jamii ulishahoji walipataje mitaji??
Hivi alichotoa makonda ni misaada??? Zawadi za mamilion unasema msaada... ukapimwe akili.. Acha kufananisha vitu visivyofanana
 
Kwani zile mil 10 kwa kila mchezaji wa stars ameshatoa?
 
Hivi alichotoa makonda ni misaada??? Zawadi za mamilion unasema msaada... ukapimwe akili.. Acha kufananisha vitu visivyofanana
Kwanini alichotoa zawadi ww unaona si sawa?? Au angetoa raia mwingine mwenye pesa ingekuwa sawa kosa tu katoa makonda ndo shida
 
Kwanini alichotoa zawadi ww unaona si sawa?? Au angetoa raia mwingine mwenye pesa ingekuwa sawa kosa tu katoa makonda ndo shida
Sasa raia mwingine ni nani kama sio kina Mengi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] Apumzike kwa amani hela ilivyokuwa ngumu hivi mamaee afu bashite anahonga mamillion bora hata afuturishee...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…