Kodtec Speaker systems

Mkuu SonyShake 70 ina mziki wa maana?
 
Naomba link ya huo wimbo, make sijaupata.
 
Range nzuri yenye mkito wa HiFi ni kuanzia Hz ngapi? Yani yenye mkito wa level za kama picha hapa chini,
Na hizo frequency/Hz nitazionea kwa wapi?
View attachment 2110102
Huu mziki ulikuwa kwa uncle yangu mmoja. Rip Jafet Mshana.
Huo ulikuwa unafika 2Hz kwa CD ila kwa tape unaanzia 40Hz mkito wake ulikuwa balaa aisee ukiskiza goma la Mr.Paul nakuzimia lile ilikuwa hatari tupu
 
Kwema wakuu?
Nilikwa nataka kufahamu, kuhusu haya madungu jeshi hapa kwenye picha, kwa ambae ana experience nayo

Ailipu SP9033 Subwoofer​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…