Kodtec Speaker systems

Kuna hivi vi Bluetooth speakers za aborder za around 50k-70k kuna mtu ana experience nazo nataka nimchukulie mtu azugiezugie
 
Kodtec 2913 ina true music dynamics, bass yake ni exceptional na clarity yake basi ni full balaaπŸ˜… inagongea bass kifuani!
mkuu naomba kufahamu kuhusu Kodtec KT-2809 Subwoofer.
Maana siielewi-elewi hii mashine
Mfano RMS watts Zake ,
Bass frequency Zake,
Ukubwa wa bass speaker .

 
Sasa mkuu hapo atleast utafute mziki kama huu, kwa pocha tu tauar unaonekana si wa kitoto, kuna mwenye nao?
 
Sasa mkuu hapo atleast utafute mziki kama huu, kwa pocha tu tauar unaonekana si wa kitoto, kuna mwenye nao?View attachment 2208812
πŸ€”πŸ€”πŸ˜‚πŸ˜‚ MMmmhh Babuu apo Unataka kuamishia fiesta nyumban kwako .
Hio woofer ni moto πŸ”₯ πŸ”₯ wa kufa mtu,
Kwanza hizo Watts Zake za moto (2000watts)

Alaf woofer lenyewe liko serious balaa na halina manjonjo ya kijinga.
Kiukweli Liko vizuli kinoma mkuu
 

Kwenye utafiti wangu nimekuja kugundua kumbe kodtec wanatumia subwoofer Kampuni ya Salpido AMX kutoka Malaysia
KODTEC KT 2812/ KODTEC KT 2913 NI ==SALPIDO AMX 5.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220628-122935.png
    152.3 KB · Views: 78
  • images (16).jpeg
    8.4 KB · Views: 60
Kwenye utafiti wangu nimekuja kugundua kumbe kodtec wanatumia subwoofer Kampuni ya Salpido AMX kutoka Malaysia
KODTEC KT 2812/ KODTEC KT 2913 NI ==SALPIDO AMX 5.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Kweli mkuu nimeelewa kazi kaziπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hawa jamaa wanatuchezea sema kwakuwa masoko ni tofauti ndio maama wamebadilisha jina. Ila hio sound inakita mno.
 
mkuu naomba kufahamu kuhusu Kodtec KT-2809 Subwoofer.
Maana siielewi-elewi hii mashine
Mfano RMS watts Zake ,
Bass frequency Zake,
Ukubwa wa bass speaker .

View attachment 2208362
Hili toleo la nyuma kidogo ila iko vuzuri nayo inatwanga balaa. Ubaya hawa generation zikishatoka sokoni hazirudigi. Hii kuikamata ni ngumu
 
Mkuu juzi nilikua kwenye kipub goba nikaiona kodtec nikaipenda sana sasa nataka kujua yafuatayo

1.je kuna nzuri zaidi ya hii?
2.ni aina gani hii na je nzuri yake ni ipi?
3.bei zake zipoje? Nitakushkuru mkuu

View attachment 2092304
Hio ndio haswa nayoizungumzia, mziki wake uliusikiaje?
Hii ni KT-2812 na bei ni kati ya 4OO-45OK!
Mziki wake ni balaa sana.
 
Kwenye utafiti wangu nimekuja kugundua kumbe kodtec wanatumia subwoofer Kampuni ya Salpido AMX kutoka Malaysia
KODTEC KT 2812/ KODTEC KT 2913 NI ==SALPIDO AMX 5.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
hapo china ukienda unafyatua miziki kwa jina lako, ni pesa yako tu,hata kodetec hana kiwanda ni mkinga mmoja anaitwa Konzo wa pale makete njombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…