Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

Ni kwamba sequence ya kodtec subwoofers model za
1.kt 2812, inayozungumzwa na chief extrovert,
2. kt 2913. (Same na ya hio ya juu[emoji115][emoji115])
( Hizi zote zina same specifications)
Yan 150 RMS watts.)
I.e woofer au bass speaker Ina
RMS 100 watts.
Satellites speakers ni 2 na @ speaker Ina 25 RMS watts kwaio x 2= 50 RMS watts.
Therefore system nzima , RMS power ni 150 RMS watts.

3. Kodtec kt 2912.
Hii ni toleo jingine la kodtec updated ya hio ya juu[emoji115][emoji115].
Hii Ina 250 RMS power.
I.e
Bass woofer Ina 150 RMS watts.
Two-Satellite speakers @ 50 RMS Watts x2= 100 RMS watts.
Therefore system nzima Ina 250 RMS watts.
( Hapa naingelea RMS power only )



Asa huu ni unyama saana .

""Feel the power""
Kama Salpido subwoofers wanavyosema

4. Ni Kodtec kt 2911 .
Hii ndo Ile ina 2000 watts total.
-Bass speaker yake Ina 1000watts,
Na satellite speakers ni 1000watts total
i.e @ satellite speaker ni 200 watts x5 = 1000 watts .
Hivyo bas the total watts ni 2000 watts
N.b kwangu Bado naitafuta hii kwenye mastores ya mtandaoni Ili nijue source ya toleo hili jipya ni wapi pamoja na real subwoofer specifications Zake.

But to me naipenda salpido AMX 6 au kodtec kt 2912 model
( Asanten)
2911 hyo nayo ipo bongo
Screenshot_20220718-194436_UC%20Browser.jpg
 
Nimesoma maelezo mtandaoni wanainadi ina output ya 200w kila spika, yaani 200w X 5 halaf boofer pekee lina 1000w, si balaa hili[emoji23][emoji23][emoji23]. Nikipata feedback ya mmoja wa wamiliki huu mdude nauweka ndani. 470k bei yake kwa sasa
Mkuu ntaipataje hii? Pesa sio tatizo
 
Jaman naombeni kufahamu kuhusiana speaker kuwa na 1 ohm , 2ohm, 4 ohm na 8 ohm.
Na je kama factors zote zikiwa sawa mf. Zote ni 12",
RMS watts zote ni sawa,
Frequency ni sawa,
Na je ipi ohms Iko vizuri in terms of dynamic deep bass clarity?
Naombeni ufafanuzi tafadhali.
 
Kwenye picha, hii kodtec KT 2912 kanaonekana ni kadogo , Ila siku nmeenda kwenye store za kodtec dodoma wazee, huu mzigo ni mkubwa kinoma , kwanza walivyonionyesha niliikataa kwanza Ila nilipochek Kwa mbele ilivyokaa tofaut ndo nikakubali mzigo .
Ila hili goma kubwa kinoma in terms of subwoofer dimension size na linazizidi zile model nyingine kama 2812 na 2913,
Ila kwenye picha unaweza dhania ni ailipu au alitop ndogo Ila ni kubwa Sana kuzidi kodtec model Zake nyingine except 2911
 
Kariakoo vitu original vipo kwa authorised dealers na hata maduka mengineyo utapata Original Provided ni toleo ambalo ndio limeingia sokoni tu...Likishakaa miezi kadhaa ndio zinaanza kuja feki zake zake incase bidhaa imekubalika vizuri wanaanza kuleta feki ili wapige hela zaidi.
Mkuu adi hao Dealers wanamix na copy/Duplicate
Hata hizi jezi za simba na Yanga dealer maarufu kabisa pale unakuta anamix
 
Nimesoma maelezo mtandaoni wanainadi ina output ya 200w kila spika, yaani 200w X 5 halaf boofer pekee lina 1000w, si balaa hili[emoji23][emoji23][emoji23]. Nikipata feedback ya mmoja wa wamiliki huu mdude nauweka ndani. 470k bei yake kwa sasa
MREJESHO:
Leo nilipita Kodtec stores za kariako kucheki kama hiyo system ya 2OOOw Lives up to its name.
Kiukweli Kodtec wameharibu reputation.

Kimsingi hii model ni ya kipuuzi mno sishauri mtu anunue.
 
MREJESHO:
Leo nilipita Kodtec stores za kariako kucheki kama hiyo system ya 2OOOw Lives up to its name.
Kiukweli Kodtec wameharibu reputation.

Kimsingi hii model ni ya kipuuzi mno sishauri mtu anunue.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] doooh imekuwaje tena?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] doooh imekuwaje tena?
Mzee kwanza haina settings za ku regulate sauti
independently. Kuna EQ presets button ya rock,pop,jazz nk.

Bass haijai vyema ni almost imemezwa na mids za sorround speakers zile. Kwa bass lovers its a serious turn off. Inshort kelele ziko juu kuliko bass na ili uisikie bass walau kidogo ni labda u turn volume hadi 6O.

Niliomba remote yake niangalie huenda kuna button ya kujazia bass mle ila sikufanikiwa kuipewa. Better of hizi model za KT-2913 na KT-2812 zenye passive bass radiators for serious deep bass.

This Kodtec 2OOOw hometheatre is a serious joke mazee.
 
Back
Top Bottom