Ni kwamba sequence ya kodtec subwoofers model za
1.kt 2812, inayozungumzwa na chief extrovert,
2. kt 2913. (Same na ya hio ya juu[emoji115][emoji115])
( Hizi zote zina same specifications)
Yan 150 RMS watts.)
I.e woofer au bass speaker Ina
RMS 100 watts.
Satellites speakers ni 2 na @ speaker Ina 25 RMS watts kwaio x 2= 50 RMS watts.
Therefore system nzima , RMS power ni 150 RMS watts.
3. Kodtec kt 2912.
Hii ni toleo jingine la kodtec updated ya hio ya juu[emoji115][emoji115].
Hii Ina 250 RMS power.
I.e
Bass woofer Ina 150 RMS watts.
Two-Satellite speakers @ 50 RMS Watts x2= 100 RMS watts.
Therefore system nzima Ina 250 RMS watts.
( Hapa naingelea RMS power only )
Asa huu ni unyama saana .
""Feel the power""
Kama Salpido subwoofers wanavyosema
4. Ni Kodtec kt 2911 .
Hii ndo Ile ina 2000 watts total.
-Bass speaker yake Ina 1000watts,
Na satellite speakers ni 1000watts total
i.e @ satellite speaker ni 200 watts x5 = 1000 watts .
Hivyo bas the total watts ni 2000 watts
N.b kwangu Bado naitafuta hii kwenye mastores ya mtandaoni Ili nijue source ya toleo hili jipya ni wapi pamoja na real subwoofer specifications Zake.
But to me naipenda salpido AMX 6 au kodtec kt 2912 model
( Asanten)