Kodtec Speaker systems

Hizo model ulizozitaja hapo chini bajeti yake ikoje kwa sasa?
 
Kodtec ya laki na nusu unaisimulia kama sony ya laki sita vile
 
Hapo nimefanya upgrade Kwa kuongeza soundbar ya 150k,
Na hiyo deck ni Bluetooth multifunctional receiver yenye preamp ndani na Kila aina ya input Kwa ajili ya kudisplay kwenye monitor au tv yoyote jumla 450k+150k= 600k
Hizo tall standing speakers nilizing'oa kwenye subwoofer nyingine abayo ilikua nikainstall kwenye hizi za kodtec kt913 kwaio ndo nmejifanyia self upgrade Kwa system yangu
huu unyama pesa ngapi??
 
Siku ukikutana na an American speaker-BOSE ,you will feal it.
 
soundbar ni kampuni gani na wapi umenunua
 
Naunga mkono hoja kuwa kodtec wanajitahidi, kkoo kuna jirani yangu anacho kidogo tu mwaka wa 3 huu anakigonga bila mpangilio lakini kipo na sound yake ileile. Wapo sawa kwa uchumi wa watanzania wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…