Kodtec Speaker systems

Hii kinyamwezi sana, kwahio output ya hii bar unaipeleka kwenye woofer kupitia bluetooth au sio? Au umeziungaje?
Hii setting Iko ivi
From my any output bluetooth source eg phone ,au tv nk.
(Inaunga Kwa kutumia audio cable splitter (naiita female jack splitter) kwenda kwenye Bluetooth multifunctional receiver na kodtec kt 2913 subwoofer. At the same time. Na sauti inasambaa kote kwenye kale kasplitter in the same strength bila kupungua nguvu yoyote.
 
Hii inabidi nije unioneshe ilivyo mzee mwenzangu
 
Nilekeze Kodtech karikakoo wapo mitaa gani. Ukiweza na namba zao
 
Mzee umeniwakisha kinoma nina muku wa kuja kuicheki hio setup
 
Hii inabidi nije unioneshe ilivyo mzee mwenzangu
Kwa ufupi hiyo Bluetooth multifunctional receiver ni kwamba inawagawia subwoofer na sound bar
wote kwa pamoja na Kwa sauti ileile.
(Au hata ukiongeza subwoofer nyingine au hometheater nyingine ni sawa tu ili zile port uzijaze Kwa output sound)
 
Mzee umeniwakisha kinoma nina muku wa kuja kuicheki hio setup
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Daah ningekua dar ingekua raisi kuiona hii audio configuration system. Coz mi nipo Kahama ndo makazi yangu ILa vitu vingi navipatia huko dar mliman city na kinondoni kwenye maduka Ninayoyafaham na ninayoyaamini.
 
Tuache masihara kodtec izidi home theater system dz650 kwenye bass! Labda hukuset vzr upande bass equalizer
Usibishe mzee sony subwoofer bass ni 167watts RMS vs 2OOwatts RMS value ya kodtec af kingine kodtec ina passive radiators zinazoleta deep bass.

Result is very loud and deep clean bass haiko muddy hata kidogo huitaji hata equalizer ku compress mid tones.
 
Tuache masihara kodtec izidi home theater system dz650 kwenye bass! Labda hukuset vzr upande bass equalizer
Kwanza Sony dav-dz650
Specifications
Amplifier Section
POWER OUTPUT (rated):
Front L + Front R 100 W + 100 W (at
3 ohms, 1 kHz, 1%
THD)
POWER OUTPUT (reference):
Front L/Front R/
Center/Surround L/
Surround R: 167 W
(per channel at
3 ohms, 1 kHz)
Subwoofer: 165 W (at
3 ohms, 100 Hz)
Inputs
AUDIO IN and OPTICAL IN jacks
CD/DVD System
Laser Diode Properties
Emission Duration:
Continuous
Laser Output*: Less
than 44.6 ฮผW

Nakubali katizidi specifications zote kasolo bass frequency ndipo kafeli.
Hasa angalia vizuli kwenye deep bass frequency kama ziko kwenye range ya 20hz -30hz au basi tumpe mpaka 45hz, huko kote hayumo , yaan kaenda mpaka 100hz Kwa akina sea piano kweli na unateta Sony?. Naelewa zipo Sony Kali zenye bass Kali ya range ya 20hz mpaka 30hz Ila sio Kwa bei ya laki Tano au sita kaka.

Yaan hapo bass ya 100hz ni kuumiza maskio tu na sio gut feeling bass .
WAHUNI TUNATAKA KIINI CHA BASS NA SIO MDUNDIKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ