Kodtec Speaker systems

Na ndio maana ukitaka kumjua mtu mwenye sea piano muache aachilie sauti mpaka juu, πŸ˜‚πŸ˜‚ broh utasikia mabati ya nyumba yake ndo yanakua radiators yaan mziki unakosa Radha kabisa inakua kama makelele.

Coz woofer ya seapiano ina : 80Wrms 2Ξ© at 100Hz, na ndo maana yanaunguruma sana.
 
Tuache masihara kodtec izidi home theater system dz650 kwenye bass! Labda hukuset vzr upande bass equalizer
sijapata kuisikia hyo bass ya sony dz650 ila ninamiliki kodtec 2913 aisee bass yake ni very deep yaani yaani ule mdundo unaiskia kifuani sio masikioni, kwa upande wa bass tangu nisikie hzi home sound systems sijawah experience bass ya hvi yaani iko smooth , deep and very clean

nb.kwa upande wa mid na tweeter nahisi kma uwezo wake unamezwa na bass speaker hvyo high details sio rahis kusikia vyema

sema nataka nidake vinu vya pioneer kmq 312d4/3003d4

mizigo inatema zaidi ya 500watts rms(subwoofer) pekee yake.
 
nimetoroka kazini nalitwanga kodtec hpa


mzee dude linatwanga haswa ujue mbupu zote zinacheza cheza[emoji16][emoji16][emoji16]
unasikiliza singeli au true music, ambapo utaipata druma, tumba,solo,rthym, sexfn etc,? au ni hii miziki yenu yakutengeneza kw kutumi Cubase, au fl studio?
 
Hiki ndicho nakikosa kwenye Sony HT system DZ 650 ya speaker ndefu. Kiukwel system inapangika vizuri lakini ukifungua mziki wake huskii kabisa balance. Nimecheza na setups zote hakuna...hadi nawaza niitafutie twita mbili labda ziisaidie kuchuja mziki ili viojo na ala zote zisikike...daaah hiyo Kodtech imeniua sana
 
Sony ukiskilizia Youtube ina sound nzuri atleast na ukitumia CD ila kwa bluetooth labda uwe na equalizer setup kubalance mchicha na bass
 
Sony ukiskilizia Youtube ina sound nzuri atleast na ukitumia CD ila kwa bluetooth labda uwe na equalizer setup kubalance mchicha na bass
Aisee umenifundisha kitu. Hii inaweza kua kweli. sony HT had sasa sijaipendaga inanitia wazimu mispika ila sound hakuna kitu
 
Aisee umenifundisha kitu. Hii inaweza kua kweli. sony HT had sasa sijaipendaga inanitia wazimu mispika ila sound hakuna kitu
Compared na wa Asia wengine yuko juu ila akisogezwa kwa Mmarekani anakula mtama. Sony is better against LG, Samsung and even panasonic at times.

Kodtec is a no name brand ila wamejitahidi kutengeneza deep bass speaker which i feel its better sounding than Sony...No disrespect im a huge fan of Sony but just being true to myself.
 
jana nilikuwa napita moshi mjini kwnye maduka ya vifaa vya magari nikakuta mjomba kafunga double subwoofer pioneer 310d4 zinatoa jumla 800rms watts kaunga amplifier na equalizer akaweka na tower speakers 2 ambazo ni full range zinatoa watts jumla watts 160 rms

aloo ile bass niliyoiskia ni zaidi nyokoooooooooooooo

halafu mziki hauna distortion hta chembe

bei tu za hzo pioneer zote ni 500000 bila box

mamaeeee
 
Huo mziki kaufunga ndani ya ofisi yake humo auπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…