Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

Na ndio maana ukitaka kumjua mtu mwenye sea piano muache aachilie sauti mpaka juu, [emoji23][emoji23] broh utasikia mabati ya nyumba yake ndo yanakua radiators yaan mziki unakosa Radha kabisa inakua kama makelele.

Coz woofer ya seapiano ina : 80Wrms 2Ω at 100Hz, na ndo maana yanaunguruma sana.
Mkuu,
Hivi Hawa kodtec hawana mziki mzur wa Gari.

Nmevutiwa nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazeee katika zunguka zangu kufanya utafiti wa hizi sound zenye deep sound kali JBL soundbar 5.1 channel ile mikito yake imenibadilisha maamuzi sana
Hata huyu kodtec hatoboi hapo sema ni vile bei za jbl ni kisanga kibongo bongo
Wauzaji wengi wanazi overprice sana,sasa sijajua ni ushuru mkubwa au tamaa ya kutaka faida kubwa
hebu tuwekee model yke hpa tusome specifications zake tujiridhishe unayoyanena.
 
Mkuu,
Hivi Hawa kodtec hawana mziki mzur wa Gari.

Nmevutiwa nao

Sent using Jamii Forums mobile app
Mziki wa gari angalia kwenye power specifications za speaker husika kama zinatumia AC/DC
Kwaio kwenye DC ndo waweza unganisha kwenye gari,
Mfano kodtec kt 2809A.
Bei yake ni inaanzia 200k mpaka 160k.
Naskia huo mtambo ni shida na aina hii ya kodtec wametumia speaker Fulani hivi inaitwa ""ASTRUM SM080""**.

image-7.jpeg

Technical Specifications:
  • 80W RMS of crystal clear audio
  • Volume and bass control on subwoofer
  • Wireless remote controller
  • Bluetooth connectivity for wireless streaming
  • USB play, SD card slot, FM and AUX support.
  • Output Power: 80W RMS.
  • power AC/DC
  • S/N Ratio: 65dB
  • Driver Unit: 6.5 inches + 4 inches x 2
  • Bluetooth: V5.0 up to 10m connectivity.
  • Distortion: Ë‚0.5%
  • Frequency Response: 30 Hz - 20kHz
  • Impedance: 8Ω Bass / 4Ω Satellite
  • Sub. Dimensions: 394 x 287 x 327mm (W x D x H)
  • Sat. Dimensions: 140 x 287 x 263mm (W x D x H)
  • Weight: 12kg (approx.)
""***Astrum SM080 is a speaker system that delivers an ultimate audio performance, it comes with a wooden 6.5-inch subwoofer and 4-inch satellites that produce bass you can feel! The satellite speakers are designed in a manner to perfectly deliver middle and high tones.

A powerful performance speaker system that delivers an audio performance with 80W power, for that bold sound that immerses you in the moment, producing strong, rich bass notes adding depth to the music, videos, movies and gaming.

A multi-functional speaker with multi-connectivity options such as Bluetooth, USB play, SD play and Aux input and for more flexibility in streaming music or playing your favorite hits. The wireless connectivity allows you to connect the device of your choice by easy pairing to the wireless speaker. Tune in to your favorite FM station with FM support.

Regulate the bass, treble and volume of your music with the controls conveniently located behind the speaker subwoofer or switch between wireless or wired mode depending on the device you are streaming. It also comes with a wireless remote controller giving you added wireless freedom to control your speaker even from a distance.**""""

Hii imedizainiwa kukaa Kwenye Buti au nyuma ya viti Kwa sababu Ina sura ambayo inaogopesha kidogo 😂😂😂.
Hii tunaraisisha tu maisha jaman Ili Sisi wa low income tujiskie angalau kama akina JBL ausio,,😂😂😂
 
View attachment 2317537

Hii imedizainiwa kukaa Kwenye Buti au nyuma ya viti Kwa sababu Ina sura ambayo inaogopesha kidogo [emoji23][emoji23][emoji23].
Hii tunaraisisha tu maisha jaman Ili Sisi wa low income tujiskie angalau kama akina JBL ausio,,[emoji23][emoji23][emoji23]
Huu mziki unaweza week getting kishkaji tu!?
 
Wazeee katika zunguka zangu kufanya utafiti wa hizi sound zenye deep sound kali JBL soundbar 5.1 channel ile mikito yake imenibadilisha maamuzi sana
Hata huyu kodtec hatoboi hapo sema ni vile bei za jbl ni kisanga kibongo bongo
Wauzaji wengi wanazi overprice sana,sasa sijajua ni ushuru mkubwa au tamaa ya kutaka faida kubwa
JBL ina deep bass, iko vizuri ila kwa bei kodtec ana price advantage. Quality ya sound almost zinaendeana ila moja unapata kwa laki 5 ingine million na laki 8
 
Nilidownload playlist ya kina Migos alafu kwenye PC yangu nilidownload app ya equalizerAPO.
Asa nilifanyia configuration ya deep bass aseeh , majirani wakawa wanatokatoka nje kuangalia nani anamiliki muungurumo ule, na Mimi nawaangalia tu wanavyokanyagana..
KODTEC NI MASHINE ASIKWAMBIE MTU Mimi mwenyewe sijiamini kama namiliki hiki kinu Kwa sababu sio kwa bass hii .
Apo lazima utoroke kazini Aseh.
 
Hii hapa mkuu narudi kusaka hela nitafute huyu mnyama aiseee hili seapiano natuma huko sina mziki nina kelele tu ndani kumbe View attachment 2317996
Hii ni mauaji mzee 😂😂😂 sema ni toleo la nyuma ya hizi KT-2812 na ile KT-2913 ila nayo inafumua sio mchezo. Hio uliosikia ni 8O rms sasa hizi za sasa kuna 2OO rms na 3OOrms
 
Mziki wa gari angalia kwenye power specifications za speaker husika kama zinatumia AC/DC
Kwaio kwenye DC ndo waweza unganisha kwenye gari,
Mfano kodtec kt 2809A.
Bei yake ni inaanzia 200k mpaka 160k.
Naskia huo mtambo ni shida na aina hii ya kodtec wametumia speaker Fulani hivi inaitwa ""ASTRUM SM080""**.

View attachment 2317537
Technical Specifications:
  • 80W RMS of crystal clear audio
  • Volume and bass control on subwoofer
  • Wireless remote controller
  • Bluetooth connectivity for wireless streaming
  • USB play, SD card slot, FM and AUX support.
  • Output Power: 80W RMS.
  • power AC/DC
  • S/N Ratio: 65dB
  • Driver Unit: 6.5 inches + 4 inches x 2
  • Bluetooth: V5.0 up to 10m connectivity.
  • Distortion: Ë‚0.5%
  • Frequency Response: 30 Hz - 20kHz
  • Impedance: 8Ω Bass / 4Ω Satellite
  • Sub. Dimensions: 394 x 287 x 327mm (W x D x H)
  • Sat. Dimensions: 140 x 287 x 263mm (W x D x H)
  • Weight: 12kg (approx.)
""***Astrum SM080 is a speaker system that delivers an ultimate audio performance, it comes with a wooden 6.5-inch subwoofer and 4-inch satellites that produce bass you can feel! The satellite speakers are designed in a manner to perfectly deliver middle and high tones.

A powerful performance speaker system that delivers an audio performance with 80W power, for that bold sound that immerses you in the moment, producing strong, rich bass notes adding depth to the music, videos, movies and gaming.

A multi-functional speaker with multi-connectivity options such as Bluetooth, USB play, SD play and Aux input and for more flexibility in streaming music or playing your favorite hits. The wireless connectivity allows you to connect the device of your choice by easy pairing to the wireless speaker. Tune in to your favorite FM station with FM support.

Regulate the bass, treble and volume of your music with the controls conveniently located behind the speaker subwoofer or switch between wireless or wired mode depending on the device you are streaming. It also comes with a wireless remote controller giving you added wireless freedom to control your speaker even from a distance.**""""

Hii imedizainiwa kukaa Kwenye Buti au nyuma ya viti Kwa sababu Ina sura ambayo inaogopesha kidogo 😂😂😂.
Hii tunaraisisha tu maisha jaman Ili Sisi wa low income tujiskie angalau kama akina JBL ausio,,😂😂😂
Hapo kwenye frequency response ndiko uchawi
ulipo. Yani ukishaona 3OHz-2OkHz ujue tu mzigo umegusa sakafu ya deep bass.

Yani anything O-3OHz ni msala. Sony mwenyewe ana kitu ametengeneza mwaka huu kinafika 35Hz na watu wanaisifia sana kuwa inaizidi JBL. Ni subwoofer kwa ajili ya deep bass.

Sasa imagine mtu anayechezea kwenye 3OHz kamili itakuwaje. Huyo ni Kodtec wazee acheni masihara jokes aside.
 
Nilidownload playlist ya kina Migos alafu kwenye PC yangu nilidownload app ya equalizerAPO.
Asa nilifanyia configuration ya deep bass aseeh , majirani wakawa wanatokatoka nje kuangalia nani anamiliki muungurumo ule, na Mimi nawaangalia tu wanavyokanyagana..
KODTEC NI MASHINE ASIKWAMBIE MTU Mimi mwenyewe sijiamini kama namiliki hiki kinu Kwa sababu sio kwa bass hii .
Apo lazima utoroke kazini Aseh.
Tafta ngoma ya Tory Lanes - "Freaky" utaijua nguvu ya Kodtec angalia usiangushe dari 😂😂😂
 
Daah Nipo na PC hapa na Iko full equalized duubhhhhh kubabake nimeidownload , aseeh naiacha seblen naenda kuisikiliza nikiwa chumba kingine naiacha imalize maana sio Kwa kishindo hiki aseeh
 
Nahisi Equalizer bado hujaipata nzuri. Tafta kitu inaitwa comet player. Hii player naitumiaga kusikilizia miziki iko na very powerfull equalizer. Download chap ni 1OMB tu.

Ukitaka kupata superclean sound kama ya Sony Xplod ya gari au Pioneer ile mikito ya gari tumia hio player. Utakuja kunishukuru.
 
Hii ni mauaji mzee [emoji23][emoji23][emoji23] sema ni toleo la nyuma ya hizi KT-2812 na ile KT-2913 ila nayo inafumua sio mchezo. Hio uliosikia ni 8O rms sasa hizi za sasa kuna 2OO rms na 3OOrms
Kama zipi hizo 200rms na 300rms nipande kuzitafuta kama ikiwezekana niweke na picha mkuu
 
Back
Top Bottom