Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

IMG_4898.jpg

Hii ndio nayotumia kwa sasa naona inapiga kelele tu baada ya kunipa burudani[emoji23][emoji23]
 
View attachment 2319139
View attachment 2319140
Kati ya hizi mbili ipi imezidi nyingine kwa perfomance na ubora?
Nilifika shop na kusikiliza zote ila sikufanikiwa kuona utofauti wowote

Nataka nijilipue nichukue mojawapo
Maana nimebadili mawazo ya jbl soundbar baada ya kuona kwa bei yke hizi zinaweza kuokoa jahazi.
Nakujibu kama ifuatavyo,
Kodtec kt 2913 uliyoanza nayo juu
Ina ,150 watts RMS (woofer 100rms+25watts x2=50rms watts satellites)
•Output power 150 Watt RMS
maana yake ni;
(Power distribution 25 Watt x 2 +100 Watt RMS
•Harmonic distortion 1% 1 Watt 1kHz
•Frequency range 30Hz - 20kHz
•Signal/Noise ratio 72dB
•Separation 50 dB
•Sensitivity 380mV
•Nominal Impedance 4ohms bass/4ohms satellite

Nakuja kwenye kodtec kt 2912 ya chini.
Hii Ina
- RMS:150W+50Wx2=250W(
woofer Ina 150rms afu satellites zina 50watts x2=100 =250 watts RMS
  • Driver: 8 inches+(4inches+2inches)*2
  • Impedance: 4Ω
  • S/N Ratio: 65dB
  • Frequency Response: 30Hz~20kHz
Dimension; Subwoofer:W313*H451*D464
Satellite Speaker: W140*H252*D210

TOFAUTI HAPO NI WATTS NA S/N DB
i.2912 ANA 250WATTS RMS KAMZIDI 2913 MWENYE 150 WATTS RMS
ii. 2913 ANA 72DB, KAMZIDI 2912 DB 65DB.
KWAIO NI MAAMUZI YAKO KUAMUA NA NDO MAANA ULIPOSIKIZISHWA ZOTE HAZIKUONYESHA TOFAUTI,.
 
Shukran mkuu nimekuelewa nitajipanga kuchukua hii kt 2912
 
View attachment 2319139
View attachment 2319140
Kati ya hizi mbili ipi imezidi nyingine kwa perfomance na ubora?
Nilifika shop na kusikiliza zote ila sikufanikiwa kuona utofauti wowote

Nataka nijilipue nichukue mojawapo
Maana nimebadili mawazo ya jbl soundbar baada ya kuona kwa bei yke hizi zinaweza kuokoa jahazi.
Tofauti yake ni almost unnoticed mi huwa nafurahia shape ya hio ya juu ambayo ni KT-2812!
Wamekuanzia bei gani?
 
Bado kuna mashine za kwenda [emoji23][emoji23][emoji23] toka Kodtec,
Bado Naomba ufafanuzi sony dz350 sub woofer 165w na speakers zake tano kila moja ni 167w iyo kodtec sub woofer ni150w na speakers zake mbili zote ni 100w ambayo mnaisifia sasa hapo inakuaje kodtec hamzidi sony dz350?

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Low end frequency response, hapo ndio Sony anazidiwa.
 
Mrejesho
Leo nimetoka kariakoo kwenye maduka mawili ya kodtec wameniambia mzigo wamemaliza wiki iliyopita na hakuna duka lolote wenye hizi kt 2912 au kt2913
Nimezunguka hadi kariakoo mall nimekosa
Kuna duka nimeziona ila hyo bei nimeishindwa jamaa wanauza 850,000 pale kariakoo naona zinashakuwa most wanted kwa sasa.
Kwa yoyote yule anayejua napoweza kupata anijulishe kwani hadi kule mlimani city hakuna hayo matoleo[emoji2]
 
Hao jamaa ni shida yani wengi walizilenga na wanajua zinatafutwa kama lulu sahizi. Ujinga ni kuwa Kodtec hakuleta hizi redio kwa wingi ndio maana ziko adimu adimu.

Kuna mwamba pale dukani iko sehemu sema anadai wanauza 6OOk.
 
Imekuwa kisanga
Naona wauzaji wameamua kuuza bei juu baada ya kuona demand ni kubwa
Ile kt 2911 sijaipenda sound yake na ndio ipo kwa sasa[emoji3]
 
Ya kiboya ile mi nilishaenda kuiskiliza, sasa mule kuna watts 2OOO kweli au wanatuona sie wehu. Haina maajabu zaidi ya kelele hata sea piano yangu ina mziki wa kueleweka kuliko ule ujinga
.
Matoleo ya nyuma yote ni mazuri na yanakita kuliko ule uchafu wa 2911!
 
Pale wamefail sana ndio maana stock wanayo nyingi
Nachoshindwa kuelewa kwanini wasilete mzigo mpya wa yake matoleo yenye demand kubwa sasa?
Ndio ndio sales manager amelala
 
Mrejesho
Leo nimetoka kariakoo kwenye maduka mawili ya kodtec wameniambia mzigo wamemaliza wiki iliyopita na hakuna duka lolote wenye hizi kt 2912 au kt2913
Nimezunguka hadi kariakoo mall nimekosa
Kuna duka nimeziona ila hyo bei nimeishindwa jamaa wanauza 850,000 pale kariakoo naona zinashakuwa most wanted kwa sasa.
Kwa yoyote yule anayejua napoweza kupata anijulishe kwani hadi kule mlimani city hakuna hayo matoleo[emoji2]
hta mimi nilihangaika sana kuipata 2913 , kqribu siku 2 nzima , nikafanikiwa kuipata 1 tu tena ilikuwa kma sample dukani[emoji16]

acha niende kula vinu sasa

nb. nikifanikiwa kuunda mziki wangu nitakuuzia kwa 500000tsh( jokes).
 
Back
Top Bottom