Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

Bado Naomba ufafanuzi sony dz350 sub woofer 165w na speakers zake tano kila moja ni 167w iyo kodtec sub woofer ni150w na speakers zake mbili zote ni 100w ambayo mnaisifia sasa hapo inakuaje kodtec hamzidi sony dz350?

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
hiyo sony ni 167 w @ 3ohms, compare to 4ohm, frequence responce pia
 
Hay mkuu kula vinu vikali kwa bei sadalaa
ebhanaaa eeeh niko hii pub ya ghorofani hpq stand kubwa moshi mjini, kuna kishindo ile laana ujue kishindo haswaaaaa daaahh mamaeeeeeee , nimechungulia juu juu nimeona mids za pionner 2 zile za gari(6by9)

na tweeters 4 za pioneer

ila sijajua huo msubwoofer ni upi ila hopely utakuwa pioneer tu

ila wazee ni kishindo saanaaaaaaaaa ujue

this fucking shit is true defination of kishindo daaaah.
 
Bado Naomba ufafanuzi sony dz350 sub woofer 165w na speakers zake tano kila moja ni 167w iyo kodtec sub woofer ni150w na speakers zake mbili zote ni 100w ambayo mnaisifia sasa hapo inakuaje kodtec hamzidi sony dz350?

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Angalia kwenye bass frequency response kama huyi Sony dz350 ana 30hz or below Ili amzidi kodtec..upoo!!
 
Ya kiboya ile mi nilishaenda kuiskiliza, sasa mule kuna watts 2OOO kweli au wanatuona sie wehu. Haina maajabu zaidi ya kelele hata sea piano yangu ina mziki wa kueleweka kuliko ule ujinga
.
Matoleo ya nyuma yote ni mazuri na yanakita kuliko ule uchafu wa 2911!
Mwamba utakuwa umejaza redio ndani dah una sea piano, Kodtect, HT ya sony, na ile nyingine yenye speaker 2 za low frequency ni fireeeee
 
Mwamba utakuwa umejaza redio ndani dah una sea piano, Kodtect, HT ya sony, na ile nyingine yenye speaker 2 za low frequency ni fireeeee
Hahaha mie huwa napenda sana sound za kibabe😂😂😂
 
Ya uongo hio sio kweli😂😂😂 ukiwa na sikio bovu huwezi jua tofauti, kaka ukiskia mziki wa kodtec unaweza ukataka uuze hio Sony kesho.

Walioiskia hio kodtec wananielewa vizuri
mkuu ongea na Konzo kule china akupe shavu la Country Marketing Manager, maana sio kwa promo hili
 
Ya uongo hio sio kweli😂😂😂 ukiwa na sikio bovu huwezi jua tofauti, kaka ukiskia mziki wa kodtec unaweza ukataka uuze hio Sony kesho.

Walioiskia sound ya kodtec wananielewa vizuri.
Hata sea piano so 910 ana 20hz Ila sikiliza bass yake ikifika katkat inaanza kulalamika imefika mwisho wakat apo knob Bado ipo katkati 😂😂
 
Haya magoma ya Kodtec yapo shopee na Lazada kama ukitaka market ya kutosha unaaguza mzigo wa kutosha .
Tafuteni amx 5 na amx 6 subwoofers apo mtakua mmewaweza Kodtec
Shopee ndio wako wapi?
 
Back
Top Bottom