Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

Nimekutana na kodtec kama hii duka flani la simu kwa haraka nilisikia kama iko vizuri sana
 

Attachments

  • Screenshot_20220926-102527.png
    Screenshot_20220926-102527.png
    86.4 KB · Views: 45
Kwanza Sony dav-dz650
Specifications
Amplifier Section
POWER OUTPUT (rated):
Front L + Front R 100 W + 100 W (at
3 ohms, 1 kHz, 1%
THD)
POWER OUTPUT (reference):
Front L/Front R/
Center/Surround L/
Surround R: 167 W
(per channel at
3 ohms, 1 kHz)
Subwoofer: 165 W (at
3 ohms, 100 Hz)
Inputs
AUDIO IN and OPTICAL IN jacks
CD/DVD System
Laser Diode Properties
Emission Duration:
Continuous
Laser Output*: Less
than 44.6 μW

Nakubali katizidi specifications zote kasolo bass frequency ndipo kafeli.
Hasa angalia vizuli kwenye deep bass frequency kama ziko kwenye range ya 20hz -30hz au basi tumpe mpaka 45hz, huko kote hayumo , yaan kaenda mpaka 100hz Kwa akina sea piano kweli na unateta Sony?. Naelewa zipo Sony Kali zenye bass Kali ya range ya 20hz mpaka 30hz Ila sio Kwa bei ya laki Tano au sita kaka.

Yaan hapo bass ya 100hz ni kuumiza maskio tu na sio gut feeling bass .
WAHUNI TUNATAKA KIINI CHA BASS NA SIO MDUNDIKO.
Seapiano enyewe kuna old model imeandikwa 20hz to 150hz bass...kanagonga vizuri sana ...hio dz350bass yake hata in real life inazidiwa na seapino
 
Na ndio maana ukitaka kumjua mtu mwenye sea piano muache aachilie sauti mpaka juu, 😂😂 broh utasikia mabati ya nyumba yake ndo yanakua radiators yaan mziki unakosa Radha kabisa inakua kama makelele.

Coz woofer ya seapiano ina : 80Wrms 2Ω at 100Hz, na ndo maana yanaunguruma sana.
Kuna kitu inaitwa sound pressure level

Kifupi sound ya seapiano huwa haifai kwenye mageto nikimaanisha chumba kimoja atleast ikae sehemu pakubwa ndo mana unaonga bati zinanguruma,
 
jana nilikuwa napita moshi mjini kwnye maduka ya vifaa vya magari nikakuta mjomba kafunga double subwoofer pioneer 310d4 zinatoa jumla 800rms watts kaunga amplifier na equalizer akaweka na tower speakers 2 ambazo ni full range zinatoa watts jumla watts 160 rms

aloo ile bass niliyoiskia ni zaidi nyokoooooooooooooo

halafu mziki hauna distortion hta chembe

bei tu za hzo pioneer zote ni 500000 bila box

mamaeeee
310 ni old kidogo sa hivi kuna 312 ndo bei hio kwa mbili bila box hata 450 zote mbili unapata
 
Mziki wa gari angalia kwenye power specifications za speaker husika kama zinatumia AC/DC
Kwaio kwenye DC ndo waweza unganisha kwenye gari,
Mfano kodtec kt 2809A.
Bei yake ni inaanzia 200k mpaka 160k.
Naskia huo mtambo ni shida na aina hii ya kodtec wametumia speaker Fulani hivi inaitwa ""ASTRUM SM080""**.

View attachment 2317537
Technical Specifications:
  • 80W RMS of crystal clear audio
  • Volume and bass control on subwoofer
  • Wireless remote controller
  • Bluetooth connectivity for wireless streaming
  • USB play, SD card slot, FM and AUX support.
  • Output Power: 80W RMS.
  • power AC/DC
  • S/N Ratio: 65dB
  • Driver Unit: 6.5 inches + 4 inches x 2
  • Bluetooth: V5.0 up to 10m connectivity.
  • Distortion: ˂0.5%
  • Frequency Response: 30 Hz - 20kHz
  • Impedance: 8Ω Bass / 4Ω Satellite
  • Sub. Dimensions: 394 x 287 x 327mm (W x D x H)
  • Sat. Dimensions: 140 x 287 x 263mm (W x D x H)
  • Weight: 12kg (approx.)
""***Astrum SM080 is a speaker system that delivers an ultimate audio performance, it comes with a wooden 6.5-inch subwoofer and 4-inch satellites that produce bass you can feel! The satellite speakers are designed in a manner to perfectly deliver middle and high tones.

A powerful performance speaker system that delivers an audio performance with 80W power, for that bold sound that immerses you in the moment, producing strong, rich bass notes adding depth to the music, videos, movies and gaming.

A multi-functional speaker with multi-connectivity options such as Bluetooth, USB play, SD play and Aux input and for more flexibility in streaming music or playing your favorite hits. The wireless connectivity allows you to connect the device of your choice by easy pairing to the wireless speaker. Tune in to your favorite FM station with FM support.

Regulate the bass, treble and volume of your music with the controls conveniently located behind the speaker subwoofer or switch between wireless or wired mode depending on the device you are streaming. It also comes with a wireless remote controller giving you added wireless freedom to control your speaker even from a distance.**""""

Hii imedizainiwa kukaa Kwenye Buti au nyuma ya viti Kwa sababu Ina sura ambayo inaogopesha kidogo 😂😂😂.
Hii tunaraisisha tu maisha jaman Ili Sisi wa low income tujiskie angalau kama akina JBL ausio,,😂😂😂
Shukrani sana ..jana nimeona hiikwenye duka la simu ipo vizuri ..kumbe bass inch 6.5 tu? Niliona jina kodtec nikasepa
 
Seapiano enyewe kuna old model imeandikwa 20hz to 150hz bass...kanagonga vizuri sana ...hio dz350bass yake hata in real life inazidiwa na seapino
Hilo nakataa labda ile sea piano ya laki 3! Sony bass yake iko more tighter ila haifiki deep levels. Ila kwa bass ni ya nguvu kuliko sea piano.
 
Hawa wadau wanaosema sony home theater daz-dz350 ya kawaida mnalinganisha na hivyo visabuufa vya Kichina labda utakuwa uliuziwa famba mimi ninayo Tena ya mtumba og kutoka Dubai mwaka wa nne sasa haijawahi kunisumbua na hapati joto na napiga siku nzima mara kwa mara nimeshatumia sana subwoofer nimesilikiza subwoofer za watch wengine wengi sijaona ambayo inaikuta mimi nahisi Hao wanaosema kodtek inaizidi dz350 wamekutana na famba
 
Hawa wadau wanaosema sony home theater daz-dz350 ya kawaida mnalinganisha na hivyo visabuufa vya Kichina labda utakuwa uliuziwa famba mimi ninayo Tena ya mtumba og kutoka Dubai mwaka wa nne sasa haijawahi kunisumbua na hapati joto na napiga siku nzima mara kwa mara nimeshatumia sana subwoofer nimesilikiza subwoofer za watch wengine wengi sijaona ambayo inaikuta mimi nahisi Hao wanaosema kodtek inaizidi dz350 wamekutana na famba

mkuu hapa ukizungumzia muziki wenye ubora sony dz 350 huwezi iweka na sabufa yoyote ni kukosa umakini.

lakini kwenye nguvu kutikisa nyumba,sabufa liko level nyingine kabisa,hata ukisukuma kwa mkono kitambaa chake cha base speaker utagundua ni watt nyingi sana zinatumika kuitembeza coil yake.

mziki wa gari kibongo bongo unaofungwa kwenye alteza au subaru zetu za kihuni unakita kwa fujo sana ila sio bora ndio maana unawekwa mpaka kwa laki 5 nk,ila wa mercedes benz unapiga kawaida tu ila kuistal system yake unakuta kampuni ya herman imelipwa $5000
ni quality ndio ina mata hapa.
 
mkuu hapa ukizungumzia muziki wenye ubora sony dz 350 huwezi iweka na sabufa yoyote ni kukosa umakini.

lakini kwenye nguvu kutikisa nyumba,sabufa liko level nyingine kabisa,hata ukisukuma kwa mkono kitambaa chake cha base speaker utagundua ni watt nyingi sana zinatumika kuitembeza coil yake.

mziki wa gari kibongo bongo unaofungwa kwenye alteza au subaru zetu za kihuni unakita kwa fujo sana ila sio bora ndio maana unawekwa mpaka kwa laki 5 nk,ila wa mercedes benz unapiga kawaida tu ila kuistal system yake unakuta kampuni ya herman imelipwa $2500.
ni quality ndio ina mata hapa.
Mziki wa gari huu unaofungwa hapa Bongo mimi naonaga ni makele tu. A looot of boomy bass na highs kaliiii ambazo haunipi ladha yoyote ya maana. Kwa ufupi haujawahi kuvutia masikio yangu.
 
Wakuu Kwa yeyote mwenye hiki kinu, naombeni kufahamu hii soundbar aina ya
Hisense 2.1 CH Bluetooth Soundbar DOLBY 2.1 HS219.
320W RMS watts ukiilinganisha na ile kodtec kt 2913 au kt 2912

Je bass lake lipoje.?
Sound quality yake ipo vizuri?
 

Attachments

  • Screenshot_20221119-101019.png
    Screenshot_20221119-101019.png
    338.7 KB · Views: 36
  • Screenshot_20221119-100639.png
    Screenshot_20221119-100639.png
    44 KB · Views: 34
Wakuu Kwa yeyote mwenye hiki kinu, naombeni kufahamu hii soundbar aina ya
Hisense 2.1 CH Bluetooth Soundbar DOLBY 2.1 HS219.
320W RMS watts ukiilinganisha na ile kodtec kt 2913 au kt 2912

Je bass lake lipoje.?
Sound quality yake ipo vizuri?
Bei yake?
 
Back
Top Bottom