korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
bei gani?? tuwekee na mawasiliano ya hyo mrisho tafadhalidungu la pioneer 200w rms,acha kabisa, nilitama nibebe hiyo bass, tatizo january
kwa wastani si mbaya mkuu, au unataka kulinganisha na mwendo wa sub za SVS au Sunfire? au zile pioneer za mzee Wicalu Electrinics?mzee watts 200rms kwako ni kisanga??
mimi nina mpango wakuwa na pioneers 2 zenye kutoa 1200rms kwa zote 2kwa wastani si mbaya mkuu, au unataka kulinganisha na mwendo wa sub za SVS au Sunfire? au zile pioneer za mzee Wicalu Electrinics?
zile pioneer hazina 1200 watts, zile zina 300 watts rmsmimi nina mpango wakuwa na pioneers 2 zenye kutoa 1200rms kwa zote 2
nazungumzia hii model ya 3003d4 champion series, ni dual voice coil inatoa 600 wattage (real power ).zile pioneer hazina 1200 watts, zile zina 300 watts rms
Oya Mrisho ni nani?kwa wastani si mbaya mkuu, au unataka kulinganisha na mwendo wa sub za SVS au Sunfire? au zile pioneer za mzee Wicalu Electrinics?
kibonazungumzia hii model ya 3003d4 champion series, ni dual voice coil inatoa 600 wattage (real power ).View attachment 2477856
kibongo bongo bei gani hii, nimtafute Wicalu afanye mambonazungumzia hii model ya 3003d4 champion series, ni dual voice coil inatoa 600 wattage (real power ).View attachment 2477856
jamaa mmoja wa.moro anauza miziki ya mtumba 0712 667 522Oya Mrisho ni nani?
300000tsh bila box, ila nairobi ipo chini ya hpokibo
kibongo bongo bei gani hii, nimtafute Wicalu afanye mambo
hyo ya black speaker ya upande wa kulia ni spika gani??
harman kardon TS11hyo ya black speaker ya upande wa kulia ni spika gani??
una mpango wa kuagiza?300000tsh bila box, ila nairobi ipo chini ya hpo
mzee speaker inakupa kila kitu kuanzia deep, rattling, hadi thrilling
naikubali sana
Dah Safi Sana mkuu nimetamani Sana hii sound itakua inakita balaa..imekugharimu Bei gani complete
Kaka hapo hapoo...300000tsh bila box, ila nairobi ipo chini ya hpo
mzee speaker inakupa kila kitu kuanzia deep, rattling, hadi thrilling
naikubali sana
Unyama mwingi πππ unaishi dream ya selaa
ukiamua inawezakana, unanunua mdogo mdogo tuUnyama mwingi πππ unaishi dream ya selaa
Hahah ulianza na speaker 1 ila sasa una home theatre. Hapo tafta kioo cha 65 inches tu.ukiamua inawezakana, unanunua mdogo mdogo tu
Hiyo Seapiano yako ebu niambie inakita bass frequency ngapi mkuuYa kiboya ile mi nilishaenda kuiskiliza, sasa mule kuna watts 2OOO kweli au wanatuona sie wehu. Haina maajabu zaidi ya kelele hata sea piano yangu ina mziki wa kueleweka kuliko ule ujinga
.
Matoleo ya nyuma yote ni mazuri na yanakita kuliko ule uchafu wa 2911!