Kodtec Speaker systems

Kuna sehemu nimeenda nikakuta mziki umefungwa unapiga vizuri kinyama..spika imeandika something waluca au waluka..sasa nimetafuta hii brand mtandaoni siioni.

Hii brand mnaijua?
 
mzee wa kupamba[emoji16][emoji16]
 
wakuu nisaidieni ntapata wapi kodtec subwoofer 2913 au 2812 maana nimewachek insta wameambia kwa sasa hawana brand hizo.. je kuna maduka tofauti na haya wanauza hizi model.. nipo dodoma
 
Sahizi hauna ujanja maana hilo toleo halitoki tena. Nunua Rising tower speakers wanatumia same tech kama ya kwenye hizo Kodtec ina. Mziki mzuri sana
wakuu nisaidieni ntapata wapi kodtec subwoofer 2913 au 2812 maana nimewachek insta wameambia kwa sasa hawana brand hizo.. je kuna maduka tofauti na haya wanauza hizi model.. nipo dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…