Kodtec Speaker systems

Kwa hio hapo mkuu wamefanya kitu cha tofauti mi nina sikio zuri sana la mziki mzuri! Ukipata wasaa kuisikia utasema kitu kaka.

Kwa mziki niliosikia ni mzuri zaidi ya hawa akina sea piano, pinetech na wengine wengine. Sina shaka na wao kuwa na circuit nzur zaidi na amp.
 
Kkoo wanauzaga vitu original kweli?
Kariakoo vitu original vipo kwa authorised dealers na hata maduka mengineyo utapata Original Provided ni toleo ambalo ndio limeingia sokoni tu...Likishakaa miezi kadhaa ndio zinaanza kuja feki zake zake incase bidhaa imekubalika vizuri wanaanza kuleta feki ili wapige hela zaidi.
 
So kati ya home threate ya watt 1000 na hiyo kitu ipi inamusic mzuri maskioni
Hometheatre itabaki kuwa juu sokoni but kwa kile ambacho nilikisikia humu i suggest its the best bet for the money as it sounds really awesome for a 2.1 System!

Kama uko tight on budget ishi humu mzee hutajutia.
 
Bei yake
 
Kwa kuwa ni ww ndiye unayesifia hapa basi kma nitakuwa nina mashaka nayo basi ni kidogo sana, kwa kweli hta mimi kwangu mziki ni bass ambayo ni iko tight, deep, smooth na flexing.
 
Kwa kuwa ni ww ndiye unayesifia hapa basi kma nitakuwa nina mashaka nayo basi ni kidogo sana, kwa kweli hta mimi kwangu mziki ni bass ambayo ni iko tight, deep, smooth na flexing.
Mjomba acha tu, kama mtu wa kutembea tembea siku pitia hata kariakoo ambapo zinauzwa pia. Utanipa jibu kwamba hio kitu ina balaa
 
Kwa kuwa ni ww ndiye unayesifia hapa basi kma nitakuwa nina mashaka nayo basi ni kidogo sana, kwa kweli hta mimi kwangu mziki ni bass ambayo ni iko tight, deep, smooth na flexing.
Wengine mziki ni vile sauti ikiwa iko clear, detail and quality haijalishi bass ipo kwa kiwango gani. unasikia kila kitu kilichotumika kwenye production ya wimbo husika
 
Basi kma ndo hivyo itakuwa ni option nzuri sana ukilinganisha na price range, yaani tuseme kwa laki 4 unapata mziki sound quality karibu wa 1m ni jambo zuri sanaaaa
Kwa Sound Reproduction iko vizuri zaidi No lie!

Clarity ya Sony inategemea na Input/Source! Source ikiwa utopolo utaichukia na haiko Audible in low Volumes!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…