Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

Kodtec wapo smart kiasi fulani tokea awali enzi za kina Rising ambao nao pia walikuwa vizuri, kwa kiasi fulani naweza kusema wamewazidi kina ouling ,sundar na seapiano ingawa bado hawajafikia zile level za wenyewe.

Sio tu kwa performace, bali hata mpangilio wa circuits zao ndani ni tofauti kabisa na hao sijui kina seaPino.
Kwa hio hapo mkuu wamefanya kitu cha tofauti mi nina sikio zuri sana la mziki mzuri! Ukipata wasaa kuisikia utasema kitu kaka.

Kwa mziki niliosikia ni mzuri zaidi ya hawa akina sea piano, pinetech na wengine wengine. Sina shaka na wao kuwa na circuit nzur zaidi na amp.
 
Kkoo wanauzaga vitu original kweli?
Kariakoo vitu original vipo kwa authorised dealers na hata maduka mengineyo utapata Original Provided ni toleo ambalo ndio limeingia sokoni tu...Likishakaa miezi kadhaa ndio zinaanza kuja feki zake zake incase bidhaa imekubalika vizuri wanaanza kuleta feki ili wapige hela zaidi.
 
So kati ya home threate ya watt 1000 na hiyo kitu ipi inamusic mzuri maskioni
Hometheatre itabaki kuwa juu sokoni but kwa kile ambacho nilikisikia humu i suggest its the best bet for the money as it sounds really awesome for a 2.1 System!

Kama uko tight on budget ishi humu mzee hutajutia.
 
Kwa wale Music enthusiasts wenzangu last Weekend katika kuzurura katika viunga vya M.City i came across duka la Kodtec. Hawa jamaa wanauza appliances zao mbali mbali pale zikiwemo Subwoofers.

Kishindo cha mziki wenye vipimo madhubuti ambacho sikukitegemea kilipenya katika ngoma zangu za masikio na Ilibidi nizame chap kuuliza jamaa wanioneshe hicho kitu kinachotoa huo mziki. Cha ajabu ilikuwa ni subwoofer box moja hivi with sleek design.

Ukaguzi uliendelea na kuona ni subwofeer box yenye bass speakers 3! 2 Deep bass 12" Speakers kushoto na kulia wakati mbele kuna 10" Mid bass (woofer)! Hii subwoofer iko accompanied na Speaker ndogo za kupiga mid and high frequencies ambazo zinafanikisha hii Kodtec iwe super clear sound system.

Tukija kwenye wattage hii system ni 300Watts RMS value! Utaona kwamba Peak Music Power Output ni obvious itakuwa around 1200w! The bass effects that come out of this subwoofer ni exceptional you hear both boomy and dynamic bass effortlessly sijui wametumia amplifier aina gani humu ila mziki una sound kama mziki wa gari kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]!

Kimsingi nilikuwa naona subwoofer za 2.1 Channel ni utopolo ila sio kwa Subwoofer za Kodtec wazee, naomba niombe radhi kwa wamiliki wote wa Speaker Systems za Kodtec!

View attachment 1698253
Bei yake
 
Kwa kuwa ni ww ndiye unayesifia hapa basi kma nitakuwa nina mashaka nayo basi ni kidogo sana, kwa kweli hta mimi kwangu mziki ni bass ambayo ni iko tight, deep, smooth na flexing.

Mjomba acha tu, kama mtu wa kutembea tembea siku pitia hata kariakoo ambapo zinauzwa pia. Utanipa jibu kwamba hio kitu ina balaa
 
Kwa kuwa ni ww ndiye unayesifia hapa basi kma nitakuwa nina mashaka nayo basi ni kidogo sana, kwa kweli hta mimi kwangu mziki ni bass ambayo ni iko tight, deep, smooth na flexing.
Wengine mziki ni vile sauti ikiwa iko clear, detail and quality haijalishi bass ipo kwa kiwango gani. unasikia kila kitu kilichotumika kwenye production ya wimbo husika
 
Basi kma ndo hivyo itakuwa ni option nzuri sana ukilinganisha na price range, yaani tuseme kwa laki 4 unapata mziki sound quality karibu wa 1m ni jambo zuri sanaaaa
Kwa Sound Reproduction iko vizuri zaidi No lie!

Clarity ya Sony inategemea na Input/Source! Source ikiwa utopolo utaichukia na haiko Audible in low Volumes!
 
Back
Top Bottom