Kodtec Speaker systems

Hahaha pole sana mwamba
 
Wazee kuna power supply ya kodtec watts 120 , volts 12 mpya inauzwa kama unaiitaji nitext 0783715243
Bei ni 80k Iko good condition Bado ni mpya
 
U
Umetisha sana mkuu, nikiwa tayari nitakutafuta
na hiyo kodtec uliulizia duka gani kwa dodoma.
 
Waungwana habari ya uzima? Mi Bado najikusanya taratibu kama hivi,
""Wazee Hio cylinder iliyolala hapo chini ni kisanga kingine"
Mziki wa hizi mashine Kila mtu anajiuliza ni woofer Gani natumia.
Ninazo spika tatu za design hii ndani ila nimefunga mbili tu ila nasubilia monoblock amplifier Ili nibalance
 

Attachments

  • IMG_20230514_121437.jpg
    428.6 KB · Views: 16
  • IMG_20230514_123655.jpg
    280.1 KB · Views: 17
  • IMG_20230514_123744.jpg
    277.1 KB · Views: 18
  • IMG_20230514_123806.jpg
    261.4 KB · Views: 20
  • IMG_20230514_081655_620.jpg
    524.6 KB · Views: 17
  • _20230514_121630.JPG
    222.2 KB · Views: 18
Uwanyooshe kina nani? Majirani? Halafu iweje then?

Yaani unanunua mziki ili majirani wakukome!!
Nilifikiri unanunua mziki ili uenjoy wewe mwenyewe kusikiliza unachotaka kusikiliza.

Kweli tunatofautiana sana.
 
Vipi kuhusu JBL brand?
 
Ni kweli mkuu Sisi huku ni ligi za music [emoji444] hatuna utani
Mnasikiliza nyimbo gani hizo zinazohitaji ligi?

Bila shaka mtakuwa wazee wa bongo fleva na hii miziki ya kina mboso na singeli.

Ukiwa kama mimi unawasikiliza kina Lizzy MacAlphine, Caleb Hearn, Avery Lynch, Blu Eyes, Loving Caliber, Halley Joele, Cigarettes after Sex, Leeland na kina Brandon Chase to mention the few,huwezi kuwa na attitude za ligi.

Unakaa kwenye kochi, with 2 good speakers in front of you and have a good Listening Session...kwa ajili yako wewe binafsi.
 
Mzee Subwoofer zote hizo unataka uharibu paa au? 😀 Hio woofer moja tu mziki wake ukiuset fresh ndani ni balaa zito.
 
uiana, ujana mkuu,waache ikifika muda wataacha watatumia hata redio mkulima kusikiliza taarifa ya habari tu na ikiisha anazima, ukiweka mzikia anakuambia unanipigia kelele.
 
Mziki wa Pioneer ni mkubwa sana mkuu hilo halina ubishi. Inatoa Serious bass effects hio kitu naifahamu mzee. Ukiifunga vizuri na mid range na tweeters haina mpinzani. Upigaji wake ni mauaji. Uko wapi mkuu?
 
Mkuu tafadhali hizo playlist zako Sina .
Alafu Mimi Sina singeli hata Moja
Natumia RnB, reggae riddims, hip-hop
Na amapiano .
Asa tumia sabufa Yako Kwa hizo aina ya nyimbo utakuja unanunua redio mpya daily.
Alafu Mimi nmeanza kumiliki redio tangu nikiwa mdogo na mpaka home Theater la sea piano nmeligawa coz halinipi frequency za kutosha kwaio hapa Nimeridhika ata nikiweka sauti ya chini saana kile kishindo kizito kinasikika haswa boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…