Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

Mkuu tafadhali hizo playlist zako Sina .
Alafu Mimi Sina singeli hata Moja
Natumia RnB, reggae riddims, hip-hop
Na amapiano .
Asa tumia sabufa Yako Kwa hizo aina ya nyimbo utakuja unanunua redio mpya daily.
Alafu Mimi nmeanza kumiliki redio tangu nikiwa mdogo na mpaka home Theater la sea piano nmeligawa coz halinipi frequency za kutosha kwaio hapa Nimeridhika ata nikiweka sauti ya chini saana kile kishindo kizito kinasikika haswa boss
Mkuu, Hapo kwenye Rnb na hiphop tuko pamoja.

Pili, Unapozungumzia mziki hutakiwi kutaja kitu kinachoitwa home thearte kwa sababu hiyo sio system ya mziki na hakuna mziki wa maana unapatikana humo.

Pia, Mimi situmii subwoofer wala home thearte kwa ajili ya Music. Huko nilishatoka namshukuru Mungu.
Mimi natumia a True 2-channel-system kwa ajili ya kusikiliza Music.

Mwisho kabisa, Mziki ni kwa ajili yako.. for your personal enjoyment.
Anayetakiwa kuenjoy music ni wewe, Sasa ligi za mziki zinakuwa za nini na kwa sababu gani na ili iweje?
 
Ntakuwepo huko weekend, ntakucheki[emoji3]
jamaa yko katoka kumfanyia review hyo mnyama hapo, atakupa habari kamili[emoji16][emoji16][emoji16]
20230519_133601.jpg
 
Waungwana habari ya uzima? Mi Bado najikusanya taratibu kama hivi,
""Wazee Hio cylinder iliyolala hapo chini ni kisanga kingine"
Mziki wa hizi mashine Kila mtu anajiuliza ni woofer Gani natumia.
Ninazo spika tatu za design hii ndani ila nimefunga mbili tu ila nasubilia monoblock amplifier Ili nibalance
View attachment 2621287
hii cylinder sio pioneer 310d4 kweli??
 
nilimuekea ule mgoma wa Sean Paul-like glue


daaah alipagawa kwa ile tight bass iliyokuwa inatoka.
Mkuu hilo zaga lako kwa uelewa wako ukilinganisha na mziki wa kusuka kama ule wa filibert spiker moja la pioneer na twitter zake upi utakuwa na gonga sana?
 
Back
Top Bottom