Mkuu, Hapo kwenye Rnb na hiphop tuko pamoja.Mkuu tafadhali hizo playlist zako Sina .
Alafu Mimi Sina singeli hata Moja
Natumia RnB, reggae riddims, hip-hop
Na amapiano .
Asa tumia sabufa Yako Kwa hizo aina ya nyimbo utakuja unanunua redio mpya daily.
Alafu Mimi nmeanza kumiliki redio tangu nikiwa mdogo na mpaka home Theater la sea piano nmeligawa coz halinipi frequency za kutosha kwaio hapa Nimeridhika ata nikiweka sauti ya chini saana kile kishindo kizito kinasikika haswa boss
Pili, Unapozungumzia mziki hutakiwi kutaja kitu kinachoitwa home thearte kwa sababu hiyo sio system ya mziki na hakuna mziki wa maana unapatikana humo.
Pia, Mimi situmii subwoofer wala home thearte kwa ajili ya Music. Huko nilishatoka namshukuru Mungu.
Mimi natumia a True 2-channel-system kwa ajili ya kusikiliza Music.
Mwisho kabisa, Mziki ni kwa ajili yako.. for your personal enjoyment.
Anayetakiwa kuenjoy music ni wewe, Sasa ligi za mziki zinakuwa za nini na kwa sababu gani na ili iweje?