Yah, its the best bet for the money! Hio laki 4 ni bei ya Mlimani City ila Kariakoo Stores utaipata kwa 300K bila shaka!Basi kma ndo hivyo itakuwa ni option nzuri sana ukilinganisha na price range, yaani tuseme kwa laki 4 unapata mziki sound quality karibu wa 1m ni jambo zuri saNa
Yah, its the best bet for the money! Hio laki 4 ni bei ya Mlimani City ila Kariakoo Stores utaipata kwa 300K bila shaka!
Hahahahahah sio AILIPU kweli hio 😂😂😂 najua kuna mchina mmoja anaitwa hivyo!Kuna mzigo mmoja unaitwa ALITOP,una spika mbili tu bei yake sio ya kutisha ni 180k-200k lakini hilo balaa lake noma toka siku hyo nikaacha kudharau sabufa[emoji23] maana nilikuwa nahisi wenye sabufa hawasikilizagi mziki wanasikiliza makelele[emoji23]
Yenyewe ni alitop mzeeHahahahahah sio AILIPU kweli hio [emoji23][emoji23][emoji23] najua kuna mchina mmoja anaitwa hivyo!
Nina bajeti ya 350k hebu nishauri music system nzuri ya kununua naona uko mtalaam.Hilo silijui basi mkuu, ila hili li Kodtec lina balaa[emoji16]
Hyo hpo mtandaoniZiko mbili, ndogo na kubwa yake
Ndogo ndio niliosikiliza mimi model namba. KT-2812.
Kubwa yake ni identical na hio kabisa ila nahisi nguvu ya speaker imeongezwa.KT-2913
Kuna mzigo mmoja unaitwa ALITOP,una spika mbili tu bei yake sio ya kutisha ni 180k-200k lakini hilo balaa lake noma toka siku hyo nikaacha kudharau sabufa[emoji23] maana nilikuwa nahisi wenye sabufa hawasikilizagi mziki wanasikiliza makelele[emoji23]
Ndio hii sema hii ni kubwa ya ile nayosemea! Zimepishana bei kidogo about 50-70k!Hyo hpo mtandaoniView attachment 1699942
Hpa kwngne wameshusha beiNdio hii sema hii ni kubwa ya ile nayosemea! Zimepishana bei kidogo about 50-70k!
Angalia ya pembeni yake hio KT-2812..
Ndio hii mkuu???? Balaa lake ni nini??? Inaonekana imekaa kimaandazi maandazi sana hyo maurembo urembo waliyowekaYenyewe ni alitop mzee
Hii site gani umeingia?Hpa kwngne wameshusha beiView attachment 1699944
Hii speaker ya hivi sinunui hata ikiuzwa 5000! I like neat looking systems!Ndio hii mkuu???? Balaa lake ni nini??? Inaonekana imekaa kimaandazi maandazi sana hyo maurembo urembo waliyowekaView attachment 1699945
Hii site gani umeingia?
Kweli yaani hyo maeurembo urembo na design sipendagi kufaaHii speaker ya hivi sinunui hata ikiuzwa 5000! I like neat looking systems!
kwani zile sony za speaker kubwa mbili nazo si zina huu umama[emoji3][emoji3][emoji3].Hii speaker ya hivi sinunui hata ikiuzwa 5000! I like neat looking systems!