Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

Basi kma ndo hivyo itakuwa ni option nzuri sana ukilinganisha na price range, yaani tuseme kwa laki 4 unapata mziki sound quality karibu wa 1m ni jambo zuri saNa
Yah, its the best bet for the money! Hio laki 4 ni bei ya Mlimani City ila Kariakoo Stores utaipata kwa 300K bila shaka!
 
Kuna mzigo mmoja unaitwa ALITOP,una spika mbili tu bei yake sio ya kutisha ni 180k-200k lakini hilo balaa lake noma toka siku hyo nikaacha kudharau sabufa[emoji23] maana nilikuwa nahisi wenye sabufa hawasikilizagi mziki wanasikiliza makelele[emoji23]
Hahahahahah sio AILIPU kweli hio 😂😂😂 najua kuna mchina mmoja anaitwa hivyo!
 
Ziko mbili, ndogo na kubwa yake
Ndogo ndio niliosikiliza mimi model namba. KT-2812.

Kubwa yake ni identical na hio kabisa ila nahisi nguvu ya speaker imeongezwa.KT-2913
Hyo hpo mtandaoni
Capture%2B_2021-02-11-17-10-47.jpg
 
Mhhhh waweza tuma picha na model namba hapa??

Back
Top Bottom