Kodtec Speaker systems

Music system ambayo niliikubali sana na haina mfano, ni RADIOTEHNIKA kutoka USSR wakati huo,
Watu waliokwenda USSR wakati huo wengi walikuja nazo,
Sijawahi kuona sound system ya viwango kama ile mpaka leo hii.
Speaker zake zilikuwa kiboko kuanzia tweeter, midrange na woofer.
 
Mid-range ndo woofer

Woofer sio spika ya bass

Spika ya bass Ni subwoofer...watu wanachanganyaga
 
Ya kawaida ndo ipi boss
Ya dukani au ya kusuka, ya nyumbani au kwenye magari

Yenye uwezo upi
Wengine hatuja base sana kwenye haya masuala mkuu. Ila tunahitaji tu amplifier kwa ajili ya kusukuma mziki mkubwa. Labda wewe sasa ungeainisha uwezo wa Amp na bei yake inasaidia mtu kufanya maamuzi hasa yule asiye na uelewa mkubwa kuhusiana na hivi vyombo
 
Kuna za gari 75w Γ— 4 + 300w kwa bass hii Ni laki tano na 80

65w Γ— 4 full bridgeable 250k tzs
 
Mkuu nitakutafuta panapo majaliwa.. Nahitaji sound nzuri sana home aisee, maandishi yako yamenitia njaa kwakweli
 
Mid-range ndo woofer

Woofer sio spika ya bass

Spika ya bass Ni subwoofer...watu wanachanganyaga
Hapana
Speaker iliyokamilika inakuwa na
1) Tweeter
2) Medium range
3) woofer

Subwoofer hizi ni speaker za base ambazo ni ndogo kama jina linavyojieleza., kwenye home system

Speaker kubwa za base ndo zinaitwa woofer.
Mfano angalia hapo.
 
Hiyo ya 250K inaweza kusukuma mpaka bass speaker ya Ohms ngapi mkuu?
Unaweza weka mbili za 4ohms , hivo load ikawa 2ohms
pitia makabrasha yako vizuri Nani amekwambia hizi kina seapiano, aboda zinaitwa sabufa ,

Hilo jina sijui limetoka wapi


Na hio picha uliotuma spika kubwa Ni mid-range yenyewe (woofer) inacheza frequency 50hz kupanda Hadi 3-4khz ya juu Ni high na juu yake Ni high zaidi
 
Sasa unabishana na Mrussi aliyetengeneza hiyo speaker niliyokuonyesha? Hiyo ina maelezo yake hapo kwenye speaker, kwa mpangilio niyokueleza mwanzo.
 
Deep fry, Deep Sea, Ďeep State, Deep Stick, Deep love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…