Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shukrani mkuuHongera sana
800K unapata speaker nzuri tuBudget.. niandae kias gani exactly.
Hapo kwenye sony nimewaheshimu kinomaTafuta Sony hifi system
JBL
Bose
Approximately inaenda Bei gani hiiHapo kwenye sony nimewaheshimu kinoma
Nikiwa nipo around hivi mitaa karibu na home aisee gafla ilisikika kishindo kikihemea kifuani kila nikiangalia hivi ni gari gani hilo( nimezoea kishindo cha hivi na kikuta kwenye magari hasa hiace na bajaj huku kitaa) cha ajabu kadri ninavyosogea ndio kishindo kinaongezeka kuja kutaamaki sound linatokea bar moja hivi nikazuga nachati na simu aisee mziki unahemea kifuani halafu huwezi amini sauti yenyewe ipo volume ndogo lakini hicho kishindo usipime ile dynamic sound and deep base anayoiongelea Extrovert ndio niliyoi experience pale yaan sikutamani kutoka mle kwenye bar halafu ngoma zilikua zile za amapiano zenyewe za kwa madiba.
Zinataka kufanana kidogo na hizo kwa picha sema ina woofer moja ya ziada ambayo haina tweeter yenyewe ina tundu la kupumulia tu jumla zipo 3 View attachment 2774199
Nitajitahidi.800K unapata speaker nzuri tu
Unyama Sana hii[emoji91][emoji91][emoji91]
Hio ni Sony Shake Series ile. Ni balaa zito inagonga kinoma😀Hapo kwenye sony nimewaheshimu kinoma
Nikiwa nipo around hivi mitaa karibu na home,... aisee gafla kilisikika kishindo heavy nikisema heavy naomba mnielewe tafadhali kikihemea kifuani kila nikiangalia nijue ni gari gani hilo lina aproach karibu yangu.
nimezoea kishindo cha hivi nakikuta mara nyingi kwenye magari.... Cha ajabu kadri ninavyosogea ndio kishindo kinavyo-ongezeka kuja kutaamaki sound linatokea bar moja hivi.
nikazuga zuga pale nachati na simu... muhudumu anauliza samahani kaka tukuhudumie kinywaji gani?... nikazuga kuna mtu namsubiri (mimi kiukweli si mnywaji kabisa wa pombe lakini nilijikuta nimeingia bar kwa kile kishindo heavy).
aisee mziki unahemea kifuani halafu huwezi amini sauti yenyewe ipo volume ndogo kabisa lakini hicho kishindo usipime ile dynamic sound and deep base anayoiongelea Extrovert ndio niliyoi experience pale.
Yaan sikutamani kutoka mle kwenye bar halafu ngoma zilikua zinalia zile za amapiano zenyewe za kwa madiba.
Mkito unataka kufanana kidogo na huo kwa picha sema ina woofer moja ya ziada ambayo haina tweeter yenyewe ina tundu la kupumulia tu jumla zipo 3 View attachment 2774199
Sijajua mkuu manake kwa lile sound hata sikukumbuka hata kuuliza bei.Approximately inaenda Bei gani hii
[emoji16][emoji16] pumbu zilikua zinatetema tuHio ni Sony Shake Series ile. Ni balaa zito inagonga kinoma[emoji3]
Ooh! kumbeLile kubwa ni 2M +
Kinoma yaanihahahahahaha ulipagawa