Kodtec Speaker systems

Mkuu uko serious kweli 😁 Yani subwoofer Ni spika ndogo ya bass??πŸ˜πŸ€” Em pitia makabrasha yako vizuri


..18inch sub 2000w 4000w peak nayo unasema Ni sub ndogo
 
Jbl kwenye sound za magari hayupo hata

Hilo litakuwa Kenwood 3000 au kina pioneer
Naombeni mnionyeshe hata kwa picha tu hizo spika za gari zinazofungwa kwenye magari, maana sio kwa mkito huo

Jana nikiwa mishe mida mibovu ilipita bajaji kama mita 100 kutokea usawa nilipo mimi aisee jamani jamani ile deep base niliiskia inadundia kifuani, lile bufa la seapiano kule gheto naliona kama takataka.
 
Nahitaji hii splitter mkuu kwa dar ni bei gani mana huku mikoani hazipo( Arusha)
 
Ulitumia gharama kias gan mkuu kutengeza hiy system
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…