Kodtec Speaker systems

Tafuta Sony hifi system

JBL
Bose
Hapo kwenye sony nimewaheshimu kinoma

Nikiwa nipo around hivi mitaa karibu na home,... aisee gafla kilisikika kishindo heavy nikisema heavy naomba mnielewe tafadhali kikihemea kifuani kila nikiangalia nijue ni gari gani hilo lina aproach karibu yangu.


nimezoea kishindo cha hivi nakikuta mara nyingi kwenye magari.... Cha ajabu kadri ninavyosogea ndio kishindo kinavyo-ongezeka kuja kutaamaki sound linatokea bar moja hivi.


nikazuga zuga pale nachati na simu... muhudumu anauliza samahani kaka tukuhudumie kinywaji gani?... nikazuga kuna mtu namsubiri (mimi kiukweli si mnywaji kabisa wa pombe lakini nilijikuta nimeingia bar kwa kile kishindo heavy).

aisee mziki unahemea kifuani halafu huwezi amini sauti yenyewe ipo volume ndogo kabisa lakini hicho kishindo usipime ile dynamic sound and deep base anayoiongelea Extrovert ndio niliyoi experience pale.

Yaan sikutamani kutoka mle kwenye bar halafu ngoma zilikua zinalia zile za amapiano zenyewe za kwa madiba.

Mkito unataka kufanana kidogo na huo kwa picha sema ina woofer moja ya ziada ambayo haina tweeter yenyewe ina tundu la kupumulia tu jumla zipo 3
 
Approximately inaenda Bei gani hii
 
Hio ni Sony Shake Series ile. Ni balaa zito inagonga kinoma😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…