Kodtec Speaker systems

kwani zile sony za speaker kubwa mbili nazo si zina huu umama[emoji3][emoji3][emoji3].

mataa kama yote.
mimi kiukweli napenda vitu, serious hata kwa muonekano.
Yale ma Sony yenye kichwa kama pump za kuvutia maji mtoni na speaker za mataa taa kama trafic lights sijawahi kuyahusudu kabisa.

Wanasema yana mziki wa nguvu ila siwezi hangaika na Redio kama Toys! Mi pia ni mfuasi wa serious looking systems.
 
Ulivyoelezea utafikiri DJ😀😀
 
Am 100%sure hizo za pembeni ni passive radiator ...sio spika ..spika ni moja tu hio ya mbele
 
Kariakoo bei itakuwa imepoa kidogo maana kule walianza 500K mwisho 450K ila kariakoo najua itakuwa 300K!

Kaka huo mziki wa kwenda ukiuskia utaleta mrejesho humu!
Hiyo sample naifahamu niliwahi kutana nayo sehemu hata mimi ilbidi niulize ni kifaa gani hicho ndio nikaonyeshwa hiyo chombo kiukweli ina soudn vizur sana na bei yake ndio hiyo hiyo 450k
 
Kwangu mziki hujawahi kamilika bila kuwa na kishindo tena kile unasikilizia kwnye kifua
Basi humu vyote unavipata, kishindo cha kupasua kifua na Clarity. Mziki mnene kweli kweli na pia hata kwa atakaepita jirani na eneo mziki unapopigwa lazma atasogea aulize ni kitu gani kinatoa huo mziki?

Ukitaka kupima mziki wako kama uko pure sikiliza nyimbo ya KCI & Jojo - Don't leave me! Ile Base note ina hit kwa namna ya pekee sana na husikika kwenye kinu cha uhakika tu.
 
Mwanangu umenipa moto mpaka nawaza nikavamie benki nisepe na minoti nikaunyake huo mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…