Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
- Thread starter
- #101
Ha ha sidhani kama ni hio ambayo naisemea hapo 😂😂😂! Hio nayoisemea hapo imekaa vizuri sana yani. Ina mvuto flani wa kibabe.Aisee!
Leo katika harakati za kuitafuta K'koo hiyo kwenye picha nikakutana KODTec moja ina sura mbaya japo kwa mziki walikuwa ipigia promo.
Kwa haraka haraka hawa jamaa kwenye muonekano wa vifaa vyao naona kama bado.
Nilitamani hata kuipiga picha niwaletee humu kwa kweli ilikuwa na sura ngumu sana ule mzigo wa KODTec.
Hio ya pichani hukuipata?