Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

wakuu Extrovert korokwincho filibert paul nawategemea sana kwenye hili
Au kama ukishindwa waweza jichanga taratibu ukaanza kununua spika Moja ya pioneer mf .ts w309d4 au 310d4 200k/= alafu amplifaya za deochestra au boschmann 300k/=, tweeter zako midi za kawaida za Sony mega bass
Na power supply Yako geton mambo yanakua mazuri,
Coz mi mwenyewe nilenda kununua kodtec kt 2912 nikakuta mdada anachat aan tu kumuuliza subwoofer niliyokupa ninaiitaji pale pale akaniropokea eti "hazipo zimeisha" wakati mi naiona kwenye Kona imefunikwa na box , nikamwangalia yule dada Tena nikaona Bado anachat nikaamua kutoka nikaona Ile model ya kt 2809 kalibu na mlango wao nikaiulizia akanambia ety "subwoofer zote hazipo zimeisha" yaan niliumia kichiz nikaenda kupumzika kwanza uwanjan kesho yake nikawaza upya kufikilia kununua vinu vya pioneer nilienda Kwa mafundi wa magari kuwauliza wakaniuliza nataka kufunga spika ngapi ? Nikawaambia nne , akasema ""nne?"" Nkasema ndio akaniuliza kwani una nyumba Yako au umepanga ? Nikawaambia nmpanga wakanambia nazingua, nitasababisha craki kwenye Kuta , ndo wakanishauri niweke mbili na hizo mbili nijiandae Kwa notes ya mwenye nyumba.
In shot mambo Yako ivi.
1. Power supply
2. Tweeter nne
3. Amplifier
4. (2)pioneer subwoofers ts w309d4
12inches (ikiwa chini ya bed)
5. Midi (hazijafuguliwa au kufungwa nasubilia box zake kutoka Kwa fundi)
 
Attachments

  • IMG_20230417_144707_0.jpg
    IMG_20230417_144707_0.jpg
    371.7 KB · Views: 27
  • IMG_20230417_143156_6.jpg
    IMG_20230417_143156_6.jpg
    348.7 KB · Views: 30
  • IMG_20230417_143036_4.jpg
    IMG_20230417_143036_4.jpg
    394.4 KB · Views: 26
  • double pioneer.jpg
    double pioneer.jpg
    21.2 KB · Views: 29
  • IMG_20230423_084419_9.jpg
    IMG_20230423_084419_9.jpg
    482.6 KB · Views: 30
Au kama ukishindwa waweza jichanga taratibu ukaanza kununua spika Moja ya pioneer mf .ts w309d4 au 310d4 200k/= alafu amplifaya za deochestra au boschmann 300k/=, tweeter zako midi za kawaida za Sony mega bass
Na power supply Yako geton mambo yanakua mazuri,
Coz mi mwenyewe nilenda kununua kodtec kt 2912 nikakuta mdada anachat aan tu kumuuliza subwoofer niliyokupa ninaiitaji pale pale akaniropokea eti "hazipo zimeisha" wakati mi naiona kwenye Kona imefunikwa na box , nikamwangalia yule dada Tena nikaona Bado anachat nikaamua kutoka nikaona Ile model ya kt 2809 kalibu na mlango wao nikaiulizia akanambia ety "subwoofer zote hazipo zimeisha" yaan niliumia kichiz nikaenda kupumzika kwanza uwanjan kesho yake nikawaza upya kufikilia kununua vinu vya pioneer nilienda Kwa mafundi wa magari kuwauliza wakaniuliza nataka kufunga spika ngapi ? Nikawaambia nne , akasema ""nne?"" Nkasema ndio akaniuliza kwani una nyumba Yako au umepanga ? Nikawaambia nmpanga wakanambia nazingua, nitasababisha craki kwenye Kuta , ndo wakanishauri niweke mbili na hizo mbili nijiandae Kwa notes ya mwenye nyumba.
In shot mambo Yako ivi.
1. Power supply
2. Tweeter nne
3. Amplifier
4. (2)pioneer subwoofers ts w309d4
12inches (ikiwa chini ya bed)

Huu mziki kama mna hafla au sherehe ni kinu cha hatari sana
 
Yaan Kuna jamaa ni dereva wa bas za iringa hua anapaki kalibu na kwangu huku dodoma, asa alikua akija anapiga ziki lake kuubwa la Sony xplod zile 1350w ila na Mimi siku nimenunua nmefunga usiku kucha .
asubui yake hakwenda kazin asa nikaliwasha mwanangu, yaan nilimshutua akiwa kwenye bas lake anafanya service na nilikua natest wimbo wa fire boy-jealous yaan Ile wimbo unaanza tu kwanza niliiskia watu wanaguna huko nje baadae nikaona anajileta kuangalia Nini Tena kitu Gani nmeweka alishangaa saana mpaka alijikuta ananiuliza maswali mengi mpaka anayarudiarudia.

Narudia Tena these pioneers subwoofers are fkng thumping crazy yaan uwez amini na mwonekano wake wa saani saani aseh kodtec wakasome

Both two are Total 800 RMS watts
 
Nitakutafuta na Mimi uniundie dundo
 
sasa hzo pioneers ni too old

ungepata hta ile champion pro 312d4 yenye 500wrms achana na ile mnyama 3002d4( 1000wrms) ni nomaaa

ila all in all pioneers subwoofer ni bdo budget subwoofers yaani kwenye top premium unaweza sema hayupo

kuna vinu kma HCCA orion, deaf bounce, sundown, massive audio n.k

huku unakuta vinu vinatoa hadi 4000watss rms

mamaeeeee

sema kibongo bongo pioneers, kenwood, Rockford fosgate, Jl audio ni fresh sanaaaaaa
 
Asa mtafute wakala wa pioneer Tanzania kule Instagram
Utapata hizo spika zote za pioneer na sundown, pia amplifaya za taramps smart 5k RMS 5000w na vinu vyote unavyovijua (NI GENUINE ZENYE WARRANT) . ila bei yake lazima ukune kisogo.
Mimi hizo pioneer za d312 za RMS 500w nazijua vizuri mpaka zile za ts w3002d4 , 3001d4, na Ile Pioneer Premier TS-W8102SPL ambayo ni premium Tena ya ukubwa wa 15inches na frequency yake inaanzia 15hz Kwa watts 3500rms.
Ila sasa kama unavyojua bro mambo mazuri Huwa yanakuja taratibu au sio
 
hyo agent ana bei sanaaaaaa yaani hyo 312d4 bila enclosure anauza 400000tsh sijui

wakati bei average Kenya haivuki ksh8500 yaani kma 220000tsh ya kibongo

hta hpo arusha sakina kwa ras wa eastwest sound

haifiki hyo 400000tsh kwa 312d4

na ni GENUINE PRODUCTS.
 
unapatikana wapi mkuu
 
Mi Mi nilitaka kuchukua pioneer ya TS w3003d4 RMS 600w nilipompigia simu kumuuliza bei akanambia bei yake ni 450k Kwa Kila Moja.
But badae nilikuja kugundua kumbe Kuna pioneer ambazo ni za china aseh nilikuja kushtukia kumbe china nao Wana logo Yao ya pioneer Iko hivi na ukitaka kuijua we uliza bei yake utaona spika kubwa Ina bei ndogo mpaka unajishtukia .
asa Angalia model hii hata Amazon huwez ikuta coz Mimi Huwa naangalia na kucompare bidhaa za amazon za USA ndo nazifanyia comparison na kuangalia specifications
 
Attachments

  • IMG-20230408-WA0007.jpg
    IMG-20230408-WA0007.jpg
    101.1 KB · Views: 17
Mi Mi nilitaka kuchukua pioneer ya TS w3003d4 RMS 600w nilipompigia simu kumuuliza bei akanambia bei yake ni 450k Kwa Kila Moja.
But badae nilikuja kugundua kumbe Kuna pioneer ambazo ni za china aseh nilikuja kushtukia kumbe china nao Wana logo Yao ya pioneer Iko hivi na ukitaka kuijua we uliza bei yake utaona spika kubwa Ina bei ndogo mpaka unajishtukia .
asa Angalia model hii hata Amazon huwez ikuta coz Mimi Huwa naangalia na kucompare bidhaa za amazon za USA ndo nazifanyia comparison na kuangalia specification
Hasa hauwezi linganisha na hizii yaan maelekezo yote yapo kwenye website za amazon na sonielectronic
 
Attachments

  • $_1.jpeg
    $_1.jpeg
    15.5 KB · Views: 24
  • images (12).jpeg
    images (12).jpeg
    9.4 KB · Views: 23
  • 1676154720321.jpg
    1676154720321.jpg
    44 KB · Views: 25
Mi Mi nilitaka kuchukua pioneer ya TS w3003d4 RMS 600w nilipompigia simu kumuuliza bei akanambia bei yake ni 450k Kwa Kila Moja.
But badae nilikuja kugundua kumbe Kuna pioneer ambazo ni za china aseh nilikuja kushtukia kumbe china nao Wana logo Yao ya pioneer Iko hivi na ukitaka kuijua we uliza bei yake utaona spika kubwa Ina bei ndogo mpaka unajishtukia .
asa Angalia model hii hata Amazon huwez ikuta coz Mimi Huwa naangalia na kucompare bidhaa za amazon za USA ndo nazifanyia comparison na kuangalia specifications
ni kweli counterfeited zipo za kutoshaa

ila hzo nilizokutajia kwa hao wengine ni GENUINE kwa mfano hyo 3003d4 ni kma ksh 12000 kwa mawakala wote wa pioneer Kenya

cheki na Amani vehicles ni certified agent hta hyo ras wa easteast nae ni wakala wa pioneer
 
Ahaa kumbe ngoja Nije niwafollow
 
Wekeni list ya vitu vyote vinavyotakiwa yaan kwanzia soket mpaka kukamilika, naona mnasema na subwoofer hzo kodec sijui seapiano Kwan nazo zinatakiwa ebu nipen list kamili maana naona mnanichanganya
 
[emoji419]
 
Aya .
1.socket extension
2.Power supply.
3.Wiring kit.
4.Subwoofer speaker unayoitaka mf HCCA ORION🤓 au pioneer.
5. Box kubwa la spika.
6. Mids (midi) speakers au spika mayai 6"x9" za pioneer au kampuni yoyote, ZENYE watts za kutosha.
7. Tweeter nzuri kama alpine na pioneer (achana na tweeter za aftano)
8. Amplifier kulingana na watti za spika Yako.
9. Equalizer.
10. Crossover (optional) Kwa sabab most of amplifaya zinakua na internal crossovers ila ni muimu kuwa nayo kama independent hardware.
10. dynamic sound processor (DSPs)optional, hapa haka kakifaa kanatoa mziki tunaopenda kuusikiliza ndo sehem yake yaan Kila production iliyotumika Kwenye mziki unaiskia directly , ila jipange Kwenye gharama yake ndo maana nasema ni optional.
11. Receiver au Bluetooth mp3/mp4 player.

NB soma maelekezo ya Kila kifaa utakachonunua
 
sasa hzo pioneers ni too old

ungepata hta ile champion pro 312d4 yenye 500wrms achana na ile mnyama 3002d4( 1000wrms) ni nomaaa

ila all in all pioneers subwoofer ni bdo budget subwoofers yaani kwenye top premium unaweza sema hayupo

kuna vinu kma HCCA orion, deaf bounce, sundown, massive audio n.k

huku unakuta vinu vinatoa hadi 4000watss rms

mamaeeeee

sema kibongo bongo pioneers, kenwood, Rockford fosgate, Jl audio ni fresh sanaaaaaa
Mi nalifukuzia hili pipa la
Pioneer Premier TS-W8102SPL
Linafukuta frequency from 15hz
_20230423_103012.JPG
 
Back
Top Bottom