Watanzania tunapenda kuropoka sana bila kufanya utafiti, Mkapa ana mengi mazuri katika nchi na hata katika uchumi wa nchi walio mreplace walimchafua ila mpaka sasa wamefanya nini? kama hata fedha za epa aliziacha benki kuu ila kwete na walafi wenzake walizikomba ili wafanyie kampeni. Tuna kubali ana mapungufu kama binadamu ila ana mazuri mengi tusiwe wa zito kufikiri wenzangu. Acheni waisaidie Kenya kwani mpaka leo kenya ina wakimbizi wandani bwana wanahitaji msaada mkubwa, We ulishaona wapi mtu ana kesi kubwa Icc na bado anataka kuwa rais tumieni akili kuelimisha wenzangu.