Koffi hatunaye mtaani

Koffi hatunaye mtaani

Wadau wa mandombolo na rhumba.
Mzee wa tukunyema ,wa zamani amelaMbwa kichwa miaka 18 huko France.
Kesi ya yule dancer mahiri wa zamani sijui ilikuwaje wakatofautiana ndio aliemshtaki..
Miaka miwili Mopao akagoma kutia mguu France..
Wakampa go on akajisahau km wale mabeberu tu wanamlia timming.
Kumbuka Mokonzi ana family kule,mke na watoto na anawahudumia via vizuri tu.Binti yake Didier la stone ni model mkubwa tu huko,Mama Didier Aaaliyah ni mtu mkubwa tu huko.
Imetokea Unyafuzi tu toka kwa huyu dancer wake..
Wamemlaghai Mopao kama madai yameisha ana haki kwenda kule kumbe timming wamfunge.
Sasa masebene sijui itakuwaje,
Tukumbuke alibaki yeye tu baada ya Papa Wemba kudondoka jukwaani na kufariki.

Anyway juzi tu alikua anaandaa singo inaitwa KUMAMA.
Haijatoka washamlamba.
Hii tabu sana hii.
SOMA VIZURI NA UELEWE. AENDI JELA NG'O
He is to serve an 18-month suspended sentence and pay them compensation.
The public prosecutor had called for a minimum sentence of eight years.

SOSI (Source): Koffi Olomidé cleared of rape but convicted of holding dancers
 
Jela ufaransa sio sawa na Congo mwache akale bata lake. Kuoga 24/7, misosi kama yote, kutwa remote iko mkononi.
Kwamba mtaani ana tabu sana so akienda Jela za France ni bata batani. Hii komenti ilifaa uwe unamzungumzia kapuku fulani choka mbaya.
 
Wadau wa mandombolo na rhumba.
Mzee wa tukunyema ,wa zamani amelaMbwa kichwa miaka 18 huko France.
Kesi ya yule dancer mahiri wa zamani sijui ilikuwaje wakatofautiana ndio aliemshtaki..
Miaka miwili Mopao akagoma kutia mguu France..
Wakampa go on akajisahau km wale mabeberu tu wanamlia timming.
Kumbuka Mokonzi ana family kule,mke na watoto na anawahudumia via vizuri tu.Binti yake Didier la stone ni model mkubwa tu huko,Mama Didier Aaaliyah ni mtu mkubwa tu huko.
Imetokea Unyafuzi tu toka kwa huyu dancer wake..
Wamemlaghai Mopao kama madai yameisha ana haki kwenda kule kumbe timming wamfunge.
Sasa masebene sijui itakuwaje,
Tukumbuke alibaki yeye tu baada ya Papa Wemba kudondoka jukwaani na kufariki.

Anyway juzi tu alikua anaandaa singo inaitwa KUMAMA.
Haijatoka washamlamba.
Hii tabu sana hii.
Sio kweli NJ miezi 18 na sio miaka,pia hakuwepo mahakamani yupo Congo Sasa hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daa kweli umri umenitupa mkono! nilifikiri jamaa kaandika kachina kumbe ni Kiswahili hiki hiki nilicho kulia
 
Papaa mombingaye kala kifurushi cha kutosha, hiyo only kwa nchi za duniani huko huku kwetu huyo mwanamke angesubiri mno
 
Sasa mjomba siku nyingine usiandike hivi, me nikakimbilia nkidhani kafa
 
Back
Top Bottom