Koffi Olomide ahukumiwa miezi 18 jela kwa kosa la kumshambulia Dansa wake

Naona ili swala limechukua sura tafauti kwa kila mtu. Nachoweza sema ni kwamba kosa ametenda ila adhabu isiegemee upande wa maswala ya jinsia kwani mtu yeyote akipata hasira chochote anaweza kufanya, moja wapo kupigana au kupiga mtu.
 
sioni kosa la mtu kufungwa miezi kumi na minane hapo,hapo haki haijatendeka,naona kapewa adhabu kali kwa sababu ni celebrity na angekuwa mtu wa kawaida asingefungwa muda wote huo.kafungwa kwa hasira na kwa sbabu media zimechagiza sana,na ni unafiki kujifanya unasimamia haki kwa sababu ya kujionesha tuu.
 
Naona ili swala limechukua sura tafauti kwa kila mtu. Nachoweza sema ni kwamba kosa ametenda ila adhabu isiegemee upande wa maswala ya jinsia kwani mtu yeyote akipata hasira chochote anaweza kufanya, moja wapo kupigana au kupiga mtu.
kweli mkuu,nashangaa sijaona habari yoyote iliyoelezea mazingira ya kosa(kwa nini yule mwanamke alipigwa teke?)olomide hajaukumiwa kwa sababu katenda kosa bali kahukumiwa vikali kwa sababu ni mwanaume kampiga mwanamke na pili media zimeona.umejiuliza huyo dancer ndo angempiga bwana olomide ingekuwaje? kafanya kosa ila kaonewa kufungwa muda wote huo.binafsi naona adhabu aliyopewa ni kubwa.hapo siasa na mihemuko vimepindisha haki.haki ya mwanamke haipatikani kwa kumuonea mwanaume,maoni yangu tuu.
 
Mkuu acha tu afungwe amejisahau sana.Huwezi kufanya kitu kama hicho tena in public....no way ngoja anyoooke
Mi mwenyewe hakijanifurahisha kitendo alichokifanya ni funwake vibaya hapa naumia vibaya aaagh!aisee!.Noma kweli!Pole zake binti aliyemsababishia "grand mopao" majanga
 
Hakuna hata kesi mahakamani?

Ni kutoa amri tu...kamata funga huyo?

Only in Africa!
Mkuu hujaelewa habari au unafanya kusudi?Kapelekwa mahakama ya kinshansa na kwakuwa kuna ushahidi wa wazi akimdhalilisha mwanamke basi hakuna haja ya kuendelea na kesi ni hukumu tu.Pia yeye mwenyewe aliomba radhi kwa kukiri kosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…