aongezewe muda
Wa kujitetea...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aongezewe muda
Ingekuwa bongo sijui ingekuwaje!
Wa kujitetea...?
Hiyo case ilianza kusikilizwa lini?
Bongo ya zama gani labda?!?!?!Ingekuwa bongo sijui ingekuwaje!
kweli mkuu,nashangaa sijaona habari yoyote iliyoelezea mazingira ya kosa(kwa nini yule mwanamke alipigwa teke?)olomide hajaukumiwa kwa sababu katenda kosa bali kahukumiwa vikali kwa sababu ni mwanaume kampiga mwanamke na pili media zimeona.umejiuliza huyo dancer ndo angempiga bwana olomide ingekuwaje? kafanya kosa ila kaonewa kufungwa muda wote huo.binafsi naona adhabu aliyopewa ni kubwa.hapo siasa na mihemuko vimepindisha haki.haki ya mwanamke haipatikani kwa kumuonea mwanaume,maoni yangu tuu.Naona ili swala limechukua sura tafauti kwa kila mtu. Nachoweza sema ni kwamba kosa ametenda ila adhabu isiegemee upande wa maswala ya jinsia kwani mtu yeyote akipata hasira chochote anaweza kufanya, moja wapo kupigana au kupiga mtu.
Mhhhhhhh eeeehhhh[emoji15]Humtakii mema Cindy wake...
Mi mwenyewe hakijanifurahisha kitendo alichokifanya ni funwake vibaya hapa naumia vibaya aaagh!aisee!.Noma kweli!Pole zake binti aliyemsababishia "grand mopao" majangaMkuu acha tu afungwe amejisahau sana.Huwezi kufanya kitu kama hicho tena in public....no way ngoja anyoooke
Ushazoea kesi miaka sitaBado sijaamini hizi habari, labda waandishi wa hili gazeti ndio wale wale. Inakuwaje akamatwe jana leo tu afungwe?
Humtakii mema Cindy wake...
Mkuu hujaelewa habari au unafanya kusudi?Kapelekwa mahakama ya kinshansa na kwakuwa kuna ushahidi wa wazi akimdhalilisha mwanamke basi hakuna haja ya kuendelea na kesi ni hukumu tu.Pia yeye mwenyewe aliomba radhi kwa kukiri kosa.Hakuna hata kesi mahakamani?
Ni kutoa amri tu...kamata funga huyo?
Only in Africa!
Mhhhhhhh eeeehhhh[emoji15]
tena huyo atakuwa anapewa za mbavu kila siku,maana si kwa teke lile
I agree with you ma diaMy dear, Cindy= "muke ya" Koffi.
Koffi akifungwa=Cindy kukosa mume "yake".
Muhimu: Nina laani kwa nguvu zote udhalilishaji wa aina yoyote dhidi ya wanawake,mama zetu...
I agree with you ma dia