KOFFI Olomide ajibu swali endapo kesho atashikiriki kufanya usafi dar es salaam

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,189
Reaction score
9,299
Muda huu yuko live clouds amesema yeye anawasaidizi wake hivyo wao wata muwakilisha bali yeye atafanya kile kilicho kwenye hadhi yake tuu. My take majibu haya pia yawafikie wale watu wa ccm wanashadadia lowasa kufanya usafi hadharani kwamba sio lazima mumuone lowasa bali hata sisi wawakilishi wake tutamuwakilisha,lowasa atafanya yale yaliyo kwenye hadhi yake
 

Nakuona NYUMBU FC fan katika ubora wako #HapaKaziTuu 9December
 
Mbona alipopanda daladala au alipotembelea mama ntilie hamkumwakilisha nyinyi Nyumbu
 
...F.a.l.a nini!..hili nalo la kulianzishia thread?
..mbaff!
 
Alitembea Mpaka kwa mama ntilie aka panda na daladala yote hayo ni kusikiliza kero za wananchi
 
Mumwambie na baba Mwanaasha na yeye afanye usafi, au mnamuogopa?
 

What is Hadhi katika utu wa mtu??? Mleta mada inadhihirisha Elimu yako na ujinga ulio nao , Ego is inversely proportional to status.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…