Koffi Olomide akamatwa DR Congo

Koffi Olomide akamatwa DR Congo

Laana ya Papa Wemba inamuandama bado..atubu

Hata Papa Wemba nae japo sasa ameshakuwa " mavumbi " lakini nae huko huko laana za Wakongo aliokuwa akiwabebesha " ngada " na kuwafanya " Watumwa " huko Ufaransa na Ubelgiji na kupelekea wengi wao sasa kufungwa nazo hazitamwacha.
 
Anakamatwa kwa sababu ni maarufu tu, huku mitaani watu wanapiga wake zao kama mabondia na hakuna chochote, Ila kile kiteke cha koffi kinaonekana nongwa, umaarufu wake umemponza!
Mkuu kumbuka kuwa huyu ni public figure so hakutakiwa kufanya vile ya watu wengi tena isitoshe kwa ujio wake lazma kutakuwa na vyombo vya habari ilikuwa haileti picha nzuri.Lakini sisi huku uswahili tunaadabishana tu baada ya kupiga ngumu kumeza zetu wala serikali haina mpango na sisi.
 
dancer amesema hajapigwa

by the way hata kama ni mimi huwezi kumdhalilisha mke wangu nikakuacha tu...never
 
Huo ni uonevu wanawake c wanataka haki sawa sasa inakuwaje jamaa wanamsumbua kumbe mpaka hapo najifunza mwanaume atabaki kuwa mwanaume tuu,
 
Anakamatwa kwa sababu ni maarufu tu, huku mitaani watu wanapiga wake zao kama mabondia na hakuna chochote, Ila kile kiteke cha koffi kinaonekana nongwa, umaarufu wake umemponza!
Teh teh teh teh teh teh, poleni sana
 
Attachments

  • 1469533179815.jpg
    1469533179815.jpg
    52.3 KB · Views: 31
Haikuwa na ulazima wowote kumfunga pingu kwa sababu asingetoroka
 
Koffi manyodo bana...kuna siku anafanyiwa interview anaulizwa una watoto wangapi, eti ana watoto 1,000, nikajiuliza kwa shahawa zipi? labda za Nyani!
 
Anakamatwa kwa sababu ni maarufu tu, huku mitaani watu wanapiga wake zao kama mabondia na hakuna chochote, Ila kile kiteke cha koffi kinaonekana nongwa, umaarufu wake umemponza!
Huku Jide alisema kuwa aligeuzwa ngoma na Captain. Nadhani mazingira nayo yanasababisha jambo kupewa uzito.
 
Anakamatwa kwa sababu ni maarufu tu, huku mitaani watu wanapiga wake zao kama mabondia na hakuna chochote, Ila kile kiteke cha koffi kinaonekana nongwa, umaarufu wake umemponza!
Yes ndivyo ilivyo ' ameshindwa kijitambua kuwa ni kioo cha jamii, karibu dunia nzima inamtazama, lazima aadabishwe " na Kama hili swala wangeliacha kirahisi basi lingeleta picha tofauti sana katika jamii, Ni haki yake
 
Anakamatwa kwa sababu ni maarufu tu, huku mitaani watu wanapiga wake zao kama mabondia na hakuna chochote, Ila kile kiteke cha koffi kinaonekana nongwa, umaarufu wake umemponza!
Ndio umaarufu wake na adhabu atakayopewa iwe fundisho ktk jamii
 
Unazingua ujue, teh kwenye hukumu umesema kaonewa hapa unaona sawa teh
samahani Eva kama nitakuwa nimekukwaza kwa mtazamo wangu.
lakini the guy was defending mpenzi wake from the dancers' abuses ...alikuwa na Hasira and he did the right thing
ishu ya kofi watu wameamua tu kuifanyia publicity isiyo ya muhimu
 
Wala hujanikwaza usijali......
Hata kama alikua anamdefend mke wake, hilo teke hakustahili kupigwa huyo dada asee nimemuonea huruma sijui kama nyonga ipo salama teh
 
thanks kwa kuelewa
halikumfika though...so..msamehe ...okay?
 
Back
Top Bottom