GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Laana ya Papa Wemba inamuandama bado..atubu
Mkuu kumbuka kuwa huyu ni public figure so hakutakiwa kufanya vile ya watu wengi tena isitoshe kwa ujio wake lazma kutakuwa na vyombo vya habari ilikuwa haileti picha nzuri.Lakini sisi huku uswahili tunaadabishana tu baada ya kupiga ngumu kumeza zetu wala serikali haina mpango na sisi.Anakamatwa kwa sababu ni maarufu tu, huku mitaani watu wanapiga wake zao kama mabondia na hakuna chochote, Ila kile kiteke cha koffi kinaonekana nongwa, umaarufu wake umemponza!
"Wanajibaragazua" ni lugha gani tena hii? Ukitumia lugha ya kwenu ya Kiha utangulize tahadhari kwanzaWanajibaragazua tu
Hawana lolote
hahhaaaaa!!mchuma janga hula na wa kwao!!Mnavyoshangilia utadhani yanawahusu. Na yule dansa wake mjiandae kumuajiri.
Teh teh teh teh teh teh, poleni sanaAnakamatwa kwa sababu ni maarufu tu, huku mitaani watu wanapiga wake zao kama mabondia na hakuna chochote, Ila kile kiteke cha koffi kinaonekana nongwa, umaarufu wake umemponza!
Huku Jide alisema kuwa aligeuzwa ngoma na Captain. Nadhani mazingira nayo yanasababisha jambo kupewa uzito.Anakamatwa kwa sababu ni maarufu tu, huku mitaani watu wanapiga wake zao kama mabondia na hakuna chochote, Ila kile kiteke cha koffi kinaonekana nongwa, umaarufu wake umemponza!
Yes ndivyo ilivyo ' ameshindwa kijitambua kuwa ni kioo cha jamii, karibu dunia nzima inamtazama, lazima aadabishwe " na Kama hili swala wangeliacha kirahisi basi lingeleta picha tofauti sana katika jamii, Ni haki yakeAnakamatwa kwa sababu ni maarufu tu, huku mitaani watu wanapiga wake zao kama mabondia na hakuna chochote, Ila kile kiteke cha koffi kinaonekana nongwa, umaarufu wake umemponza!
Ndio umaarufu wake na adhabu atakayopewa iwe fundisho ktk jamiiAnakamatwa kwa sababu ni maarufu tu, huku mitaani watu wanapiga wake zao kama mabondia na hakuna chochote, Ila kile kiteke cha koffi kinaonekana nongwa, umaarufu wake umemponza!
Unazingua ujue, teh kwenye hukumu umesema kaonewa hapa unaona sawa tehdancer amesema hajapigwa
by the way hata kama ni mimi huwezi kumdhalilisha mke wangu nikakuacha tu...never
samahani Eva kama nitakuwa nimekukwaza kwa mtazamo wangu.Unazingua ujue, teh kwenye hukumu umesema kaonewa hapa unaona sawa teh
Wala hujanikwaza usijali......samahani Eva kama nitakuwa nimekukwaza kwa mtazamo wangu.
lakini the guy was defending mpenzi wake from the dancers' abuses ...alikuwa na Hasira and he did the right thing
ishu ya kofi watu wameamua tu kuifanyia publicity isiyo ya muhimu
thanks kwa kuelewaWala hujanikwaza usijali......
Hata kama alikua anamdefend mke wake, hilo teke hakustahili kupigwa huyo dada asee nimemuonea huruma sijui kama nyonga ipo salama teh