Koffi Olomide akamatwa na polisi, tayari kurudishwa kwao

Mbona Mimi nimeona video clip Koffi akimtandika teke Dada wawatu ? Tena TV kabisa ya Kenya. Unatetea pasipoteteleka
 
Inawezekana kabisa, hata ile video ya tukio ukiangalia vizuri inajieleza hivyo..
 

Ndugu Mchangiaji, kwani wewe ndo koffi olomide? una ushahidi wa hiki unachotaka kutuaminisha? je video clip ile ilitengenezwa? je wewe ni nani kukanusha? his lawyer? his spokesman? his manager?...in case you happen to be no body to the status mentioned above,....UNATAKIWA KUPUUZWA
 
Maelezo yako yaweza kuwa sahihi maana jama saa tatu usiku alikuwa live na wacheza show wote pale CITIZEN wakihojiwa na Lilian Kanene.
Mwanzoni walisema kwamba alimpiga mcheza show yake aitwaye Pamela lakini huyo dada mwenyewe kakana na kusema hana matatizo na Koffi. Hii ni pamoja na kujaribu kulink matatizo yooooote ya unyanyasaji wa wanawake Mashariki ya Kongo na tukio lile kitu kilichomshangaza sana.
Walijitahidi kuirudia sana ile clip na Koffi akasisitiza kuwa waliopost walipotosha na walikuw ana malengo mengine. Nadhani mwishoni ukweli utajulikana.
 
Hivyo video iliyonaswa na camera inazungumza uongo?
 

Ukishalishwa SUMU ni ngumu mno kukutoka katika Kichwa chako. Kwa mujibu wa TAARIFA kutoka huko huko lilikotokea tukio tena kwa Watu wa kuaminika zinasema kuwa kuna mpango sasa wa kumchafua na kummaliza Koffi Olomide hivyo kuna UMAFIA uliotengenezwa kiufundi kabisa kummaliza ambao umeshirikisha MAADUI zake wakuu Kikazi.

Endelea na endeleeni hivyo hivyo kunipuuza ila mkishaijua michezo ya KIMAFIA mtarudi hapa kunikubali na bahati nzuri mno nimeweza kuweka kila kitu hapo juu katika post yangu juu ya hili tukio na nashangaa tena bado tunataka kubishanga eti kwakuwa tu jana mmelishwa SUMU.

Kaa ukijua kuwa shughuli nyingi za kummaliza Mtu fulani TISHIO au MAARUFU hufanyika kwa URATIBU wa KITAALAM na KABAMBE mno kama ambavyo wengi wetu hadi leo tunajua kuwa Princess Diana alikufa na ile AJALI ya Gari pale Uingereza lakini ukweli baadae ukaja kujulikana kuwa aliuwawa kwa URATIBU wa Shirika la UJASUSI la Uingereza MI5 ambao pia walihakikisha wanacheza Karata zao vizuri sana na Waandishi wa Habari za Matukio ya Mastaa waitwao MAPAPARAZI kisha wakahakikisha pia kuwa katika Media zote za UK kunakuwa na AGENDA SETTING juu ya Kifo cha Princess Diana ili tu kuaminisha UMMA juu ya ile Ajali.

Muwe mnajifunza " kujiongeza " sometimes na msipende kuwa ni Watu tu wa kulishwa kila aina ya UPUUZI kwa gharama za UJUHA wenu. Ungejua competitions ambazo Koffi Olomide anazipata hasa ndani ya DRC wala msingeona kama nimekurupuka kuja na hicho nilichowaletea.
 

Huwa najiamini sana kwa kile NINACHOKILETA humu na hicho nilichokileta hapo NIMEKITHIBITISHA na nina UHAKIKA nacho. Hizi scenarios za beef na kuchafuana kwa minajili ya ushindani wa Kibiashara na Kikazi kwa Wanamuziki, Wasanii au Celebrities zipo nyingi na zi za kawaida sana. Hata huko nyuma Watu hawa hawa waliwahi kusema kuwa Rais wa DRC " Dogo " Joseph Kabila amemuibia Mke Mwanamuziki JB Mpiana na hadi wakaweka na picha za kutengeneza ili tu wamuharibu Kisaikolojia JB Mpiana ambaye kiukweli alitokea kumpenda mno huyo Mkewe hadi kusababisha atoe Albam ambayo haikufanya vizuri ya ANTI TERRO aliyoirekodia nchini South Africa jijini Johannesburg ( Gauteng ) na baada ya muda ikaja kujulikana kuwa kumbe Mkewe alikuwa hatoki na Rais Kabila na badala yake alikuwa akitoka na Tajiri Maarufu nchini DRC aitwae DIDIER KINUANI a.k.a Le Comparable ambaye hata hivyo huyo Mwanamke amerudiana tena na JB Mpiana na kuzaa Binti mzuri aitwae Amida na maisha yanaenda na sasa hata AKILI ya JB Mpiana imetulia.
 

Mkuu, huwa unajitambua kweli? mbona haujibu hoja? yaani unataka niamini umbea? issue ya kuwa ana upinzani sijui huko kwao or wherever, it is non of our Business....! issue hapa ilikuwa ile evidence ya kushambulia dancer wake ilikuwa kweli or false and if false, je ilitengenezwa? je wewe ni nani unayetaka tuamini kuwa kuna MAFIA wamewekwa kumumaliza?....Ngoja nirejee maswali yangu, je wewe ni mwanasheria wake? je wewe ni Manager wake?..........sasa wewe ni nani?
 
Kaka mi sijaelewa hapo..ina maana ile video ilikuwa ni Fake?!na zile Picha za kumshambulia yule dada hazikuwa za kweli?!
 

Mkuu, baada ya kusoma comments zako, naanza ku-connect dot..... Niwie radhi kwa maswali yangu. sitakuuliza tena!!
 

Mimi ni Mumeo.
 
Kaka mi sijaelewa hapo..ina maana ile video ilikuwa ni Fake?!na zile Picha za kumshambulia yule dada hazikuwa za kweli?!

Muwe mnajiongeza kwani nachoka sasa kuwafunueni UFAHAMU wenu MFU kila mara.
 
Wakupime wewe, si bure. Utakuwa una mtindio wa ubongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…