Koffi Olomide akamatwa na polisi, tayari kurudishwa kwao

bahati mbaya huyo binti atafukuzwa kazi na koffiii mwenyewe
Kazi sio kigezo cha kunyanyaswa, atamfukuza kazi na atamlipa stahiki zake maisha yatasonga. Kumbuka wizara husika Kenya itawasiliana na wizara ya Congo na haki itachukua mkondo wake.
 
Hayo mabavu akayatumie kwa faida kupambana na M23 sio mwanamke.
 
Kafanya jambo la ovyo sana.. nimeona video yake alipofika katika uwanja wa ndege wa Ndjili Kinshasa amezomewa mno.
 
BBC inasema he was deported with three of his dancers, labda the victim alipelekwa na ndege nyengine, au alibaki na akasema ukweli. au pia unajua pale JKIA kuna CCTV kibao, labda polisi wako na footage amabayo inaonyesha na angle nyengine ambayo ni irefutable evidence. hauezi kua deported bila real evidence kwamba ulivunja sheria



Olomide, from Democratic Republic of Congo, denied assaulting anyone but was arrested hours after arriving in Kenya for a concert.
He was deported to the DRC capital, Kinshasa, with three of his dancers Koffi Olomide case: Kenya deports singer over airport 'kick' - BBC News
 
amejiharibia jina. kitu cha kwanza koffi is a convict, ashawahi fungwa miezi mitatu kwa kumpiga producer wake, alafu pia akiwa france alishawahi kuwa accused of raping 3 of his dancers na ku fungia mwengine kwa chumba,.... mtu ukifatwa fatwa na mambo kama haya, lazma kuna ukweli, kwahivyo its not far fetched

amejiharibia sifa zengine, stori imeshasambaa kwa forum na blogsites za kiafrica. soma comments kwa hii site
Koffi Olomide Deported from Kenya after Assaulting a woman at the Airport | Watch
 
Mkuu nimeshanga hata uwanja wa ndege wa Ndjili Kinshasa amezomewa.

Hii ni dalili ya kuwa watu wamekerwa na lile tukio.. na kama ulivyodokeza baadhi ya matukio, sasa kwanini basi hajitambui..!?
 
Mkuu nimeshanga hata uwanja wa ndege wa Ndjili Kinshasa amezomewa.

Hii ni dalili ya kuwa watu wamekerwa na lile tukio.. na kama ulivyodokeza baadhi ya matukio, sasa kwanini basi hajitambui..!?


ukweli mkuu hii hapa video yake aki land Congo akazomewa kwa airport sana


 
Na lile teke ndo vipi yan..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…