Koffi Olomide amekuwa cheap, amefikia mwisho

Umenena mkuu.

Maisha ni mafupi hapa duniani, hivyo hakuna sababu ya kujikweza.

Koffi ameanza maisha chini sana hivyo anayafahamu maisha ni nini.

Hata Bill Gate ni hivyohivyo aliacha shule na akaanzia maisha ya chini sana.

Kuna mzee mmoja mtalii alipenda kwenda Uturuki na familia yake kufanya utalii na alipenda kukaa kwenye hoteli moja tu miaka yote ya maisha yake.

Hapo akajenga urafiki na mmoja wa vijana wa hapo hotelini na wafanyakazi wengine maana walimchukulia kama baba yao maana alikuwa mzee.

Huyo jamaa ana familia yake na anasomesha watoto.

Juzijuzi kafariki na kwenye usia watoto wake wameshangazwa na ujumbe kwenye usia ametaka sehemu ya fedha zake wapewe wale wafanyakazi wa ile hoteli na yule kijana aliekuwa akimsaidia.

Kijana alishangaa kupokea simu yenye taarifa hiyo na sasa ana fedha za kutosha kuendesha maisha ya familia yake.

Wale wafanyakazi wengine nao wameshtushwa kuingizwa mpunga kwenye akaunti zao tena ikiwa ni fedha ya kigeni.
 
Wazungu ndivyo walivyo sio ngozi nyeusi bloo,weusi tuna jeuri mpaka uzeeni
 
Bill Gates alianza Maisha ya chini lini hio?Baba ake Bill alikua anamiliki(Partner) law firm iliyokua kwny top 10 ya firm kubwa US,maza ake mwenyewe alikua business woman ameserve kwny boards kibao.
 
Unahitaji kuona mkataba na mtu wa Aina Ile?Mliishia wapi kusema mtamleta Burna boy,mamamae mwamba kapajaza pale O2 utopolo mtamuwezea wapi.
Naona huu ushakuwa ushabiki wa Usimba na Uyanga, haya nitafutie clip ya kiongozi yoyote wa Yanga aliyesema watamleta Burnaboy.
 
Bill Gates alianza Maisha ya chini lini hio?Baba aka Bill alikua anamiliki(Partner) law firm iliyokua kwny top 10 ya firm kubwa US,maza ake mwenyewe alikua business woman ameserve kwny boards kibao.
Mkuu, nikisema alianzia chiini namaanisha kuwa Bill Gate alianza kutengeneza program za computer akiw ana umri wa miaka 13.

Walimu wake wakamgundua ana akili na wakampa support hadi alipofika Havard.
 
Yaani wewe mwamba jamani. Ina Mana ulimuona tu mama j anatumbuizwa kweli. Mbona wengi Sana walikuwepo😂😂😂
 
Kwa hiyo maoni yako ni yapi?kukusaidia linganisha mafanikio yake na yako ukizingatia umri wake na wako.
 
Mkuu, nikisema alianzia chiini namaanisha kuwa Bill Gate alianza kutengeneza program za computer akiw ana umri wa miaka 13.

Walimu wake wakamgundua ana akili na wakampa support hadi alipofika Havard.
Hata kofi ni msomi wa masters degree na familia yao ni wasomi wazuri hakuanza chini au kimasikini
 
Mkuu, nikisema alianzia chiini namaanisha kuwa Bill Gate alianza kutengeneza program za computer akiw ana umri wa miaka 13.

Walimu wake wakamgundua ana akili na wakampa support hadi alipofika Havard.
Sasa angeanzia wapi mkuu ?wkt hata yeye kupata access ya kutumia tools alizokua nazo by then zilikua zinaambatana na previlege.
 
Kwa hiyo maoni yako ni yapi?kukusaidia linganisha mafanikio yake na yako ukizingatia umri wake na wako.
Jikite kwenye mada mkuu mi sifanyi kazi ya kunengua mi kazi yangu kutengeneza risasi.kwa mwaka huu nimetengeneza risasi laki saba
 
Jikite kwenye mada mkuu mi sifanyi kazi ya kunengua mi kazi yangu kutengeneza risasi.kwa mwaka huu nimetengeneza risasi laki saba
Kwa hiyo ndugu yangu mDukuzi huwa una mdukua nani?
 
Naona huu ushakuwa ushabiki wa Usimba na Uyanga, haya nitafutie clip ya kiongozi yoyote wa Yanga aliyesema watamleta Burnaboy.
Ngoja nizitafute kule kwny Nani yako nyingine unayotumia ya DON Nalimison nikizipats nitakuletea hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…