Koffi Olomide amekuwa cheap, amefikia mwisho

Wewe jamaa kwahiyo tatizo ilikua kuwatumbuiza kina Yanga pale taifa ndio useme kama kashuka? ...Marekani wasanii wakubwa tu Kina Young Thug ,Migos,Soulja boy tell em,Wiz khalifa sometimes wanafanya show kwenye vyuo vikuu tena kiingilio bure kabisa sembuse hiyo 5000
 
Duu kashuka status kwa kigezo kipi au labda ulitaka apige show venue gani ?

Huwezi niambia mtu aliyepiga show kwenye uwanja wa watu zaidi ya 50elfu ashuke status au labda sababu kafanya show ya YANGA.
Mashabiki wa Mkia FC wanaona gere tu, anachojali Koffi ni mkwanja tu,hayo mengine ni ya nyongeza tu, sijui kwanini Mkia FC wanachuki kisa katumbuiza mashabiki wa Yanga, wamesahau hata Pepe Kale nae aliwahi kuwatumbuiza Yanga wakati wa marehemu Abbasi Gulamali, hawa Mkia wamezoea kutumbuizwa na akina domo na vibaka wa muziki wa singeli, eti Koffi kaisha,hawa jamaa wanafurahisha kwa wivu wao wa kike.
 
Hawezi kuwa Olomide ni kolomije
 
We jamaa bogus kabisa, nilitegemea kwenye hoja yako ungeweka kiwango cha pesa alicholipwa kwenye shows alizolipwa Tanzania kumbe unatuletea story za makande[emoji90], kwani mfano wakiwa wanamlipa mil 30 kwa kila show hata akija mara 10 Tanzania kwa mwaka kuna shida gani?[emoji848][emoji16]
 
Olomide ana miaka 66 kaanza muziki 1979
 
Well said.
 
Enzi yuko kwenye peak hata simu ya Nandy isingepokelewa achana na kufanya nae colabo ya wimbo usioeleweka
Davido naye kashuka kiasi gani mpaka kufanya collabo na Nyange ambaye hata theluthi ya Nandi kimafanikio hajafika?
 
Ze lengend anapalasa palasa maji ya jioni tena.
 
Zama zake zimeisha, ukizingatia hata sisi wazee sahivi hatusikilizi bolingo....
 
kudeal na mbongo ni kazi ngumu jamani.


yaani namhurumia huyo mama hapo juu,analala amechoka sana[emoji45][emoji45]
 
Kwa hapa Afrika kwa sasa Koffi ni chuo kikuu cha muziki. Mzee anagawa ujuzi na anawapa watu burudani. Watu wanaenda kwa kofi kujifunza muziki na kupata uzoefu.

Koffi ameanza kuimba mwaka 1975, miaka 46 iliyopita.

Kwa vile koffi alipitia kwenye mikono ga mtaalamu Franco Luambo Makiadi akampika na yeye anaamua kupika vijana na kuwagawia ujuzi.

Tusisahau Koffi ana master degree ya hesabu. Bado koffi hawezi kulala njaa, muziki ukigoma anarudi chuo kikuu kufundisha hesabu na ma formula ya hesabu yale magumu magumu πŸ˜‚.
 
Huu nao uzi[emoji90][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
,mdukuzi yeye anachomiliki ni nyeti zake tu
 
Kwa mtazamo wako unaweza sema kashuka lakini sio kweli. Kof ana utajili mkubwa Sana ni Zaidi ya bilioni 50 za kibingo .Kuimba na akina Nandy kisiwe kigezo Cha kumshusha.
 
Duu kashuka status kwa kigezo kipi au labda ulitaka apige show venue gani ?

Huwezi niambia mtu aliyepiga show kwenye uwanja wa watu zaidi ya 50elfu ashuke status au labda sababu kafanya show ya YANGA.
Jamaa hajafanya uchunguzi kwa makini Boss ya Mboka anautajili wa Zaidi ya bilioni 50 pesa za kibongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…