Nimeona kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii MISUKULE wakilalamika kuwa mwanamuziki Koffi OLomide a.k.a Papaa Ngwasuma hakuwatendea haki jana (katika tamasha la wananchi). Kuwasaidia tu ni kwamba Papaa ametekeleza matakwa ya mkataba alioingia na wenye timu yao (GSM). Yeye kama mwanamuziki yoyote maarufu duniani hawezi kufanya shoo ya kipuuzi vile akubali kuwaangusha wapenzi wake kijinga kijinga,bali uwa anakuwa na makubaliano au mikataba ya aina (3) tatu baina yake na waandaaji wa show pale unapotaka kumualika kwenye shughuli yako.
Anakuwa na "package" ya kwanza inayoitwa "premium" hii unamlipa kiasi cha pesa "kilichosimama" na kwamba lazima aje na bend yake yoote na mara zoote inakuwa ni "live perfomnace" (full kapumbu sorry full mukoko na sio chini ya masaa manne). Package ya pili "standard" wanavyoiita wenyewe ni ile anakuja na badhi tu ya wasanii na mara nyingi show inakuwa ya mda mchache saana. Na mwisho ni ile "birthday package" au "sitting room package" ile anaalikwa yeye aje pekee yake bila kifaa chochote saana saana anaweza akaja na warembo wawili watatu wa kukata viuno kidogo kwa ajiri ya shughuli yako na mara nyingi hii ualikwa na watu binafsi kwa ajili ya sherehe mbali mbali kama birthday ,kipaimara na ulipwa kiasi kidogo cha pesa kati ya dola 5,000- 10,000 .Hivyo basi mnaweza mkaamua nyie wenyewe shughuli ya wananchi ilikuwa package ipi
Kikubwa na jambo la msingi kwa wananchi mnatakiwa kuamka mnapigwa saana .Changamoto mliyo nayo kubwa kwenye Club yenu kwa sasa ni kwamba kuna aina mbili za uongozi moja ni wale wanoangalia masilahi yao binafsi kwa kushirikiana na mdhamini wa club kwaajili ya kuuza "merchandise" za club kama jezi ili kujilimbikizia kipato wao, mpira sio kipaumbele kwao na wana hela. Kundi la pili nilile la viongozi maskini wanoapenda mpira lakini hawana pesa na hawa hawana sauti
Angalizo:

- Papaa Ngwasuma ameletwa kwa bei ya birthday lakini mlindanganywa mkajaza uwanja.
- Waliwaahidi kwamba kutakuwa na "surprise" vipi imeishia wapi? ulikuwa ni mtego wa kuwadanganya na issue ya Luis Miquissone kusudi mjaze uwanja wauze jezi. Hata baada ya juzi kugundulika wapi Luis Miquissone kaenda bado wakaendelea kusimamia utapeli wao kusudi wajaze uwanja
- Mwaka jana "waliwapiga changa la macho" vile vile na baada ya kuona wanalemewa uwanjani wakahamishia agenda kwa marefa na TFF na nyie vile hamjiongezi mkahama nao
- Leo wameuza jezi kesho watakuja na kwamba ohoo hii mechi ilikuwa ni ya maandalizi tu. wakitolewa na wanigeria mwezi ujao watasema ohoo bado wanajenga timu...wakifungwa ngao ya Hisani na wanaume watasema wao malengo yao ni ubingwa na sio ngao ya hisani ..sasa kwanini msiitwe Misukule kwa akili hizi za kuburuzwa?
- Hivi bado manaamin Manara anawafaa wanayanga kutuliza mioyo yenu kwa swala la soka? bado hamuoni tu kaletwa pale kutimiza lengo la GSM kusudi wakauze jezi....