Koffi Olomide deported following JKIA assault

Koffi Olomide deported following JKIA assault

Huyo bimdada pamoja na kuambulia mateke, kibarua ndio kimeshaota nyasi. Ila hilo la kumrudisha nyumbani lilikuwa halitoshi alitakiwa ashtakiwe ili ajifunze kuheshimu binaadamu wenzake
PAMELA-OLOMIDE DID NOT ASSAULT ME!

The victim, identified as Pamela, has, however, denied that she was assaulted by the Selfie hit-maker despite the action being caught live on camera.

“Dear fans of Koffi Olomide, I would like to tell you that Koffi did not attack me, it was a girl at the airport that was threatening me and Koffi came to defend me…Koffi can never beat us in public, and we all know that Koffi loves his dancers and he can never do something like that,” said Pamela in a video shared on Koffi Olomide’s Facebook page Friday.

She added: “For your information, Koffi does not beat us. For all those who love Koffi, I want to tell you that Koffi is not someone who is aggressive… he loves us very much and it’s just a girl who came and started attacking us. As far as we are concerned, we don’t have any problem. We came for a concert. We are in good terms with Koffi. He is our president and he never harms us.”
Koffi Olomide on his side expressed disappointment at how social media users and a section of his fans in Kenya reacted to his alleged assault.

“I watched the video with a lot of distress where it seems that I was assaulting one of my dancers. On the contrary I was defending my dancers from a lady who was threatening them at the airport. I respect women and everyone knows that I do.

I would like to apologize to all women because of my actions but I was defending my dancers.”
 
Kumbe huyu jamaa ni mtu mzima kiasi hiki.
 
Attachments

  • 1469290956102.jpg
    1469290956102.jpg
    31.2 KB · Views: 41
Unaweza dundwa wewe badala yake, usijiaminishe hivyo. Nakumbuka shule aliwahi dundwa mbabe mmoja aliyekuwa anatusumbua sana na jamaa wa kawaida.

Man mi huwa nakaaga mbali sana na troubles, lakini nikilikoroga huwa nalinywa mwenyewe. Na wajinga wajinga lishe ndogo mazoezi hamna nawakataaga tu wasije kunipa kesi.
 
Mwandwanga, Koffi Olomide si mara yake ya kwanza kurusha mateke na ngumi, sema tu safari hii amekosea sana kwani dunia ya leo si kama ya jana. Hii mitandao ya sasa ni balaa, hakuna tena kuzima vitu kimya kimya hasa kama wewe ni mtu mashuhuri katika fani yako na ikitoka imetoka.
 
Kashishi Cindy hajazaa na koffi,akibeba mimba koffi anamwambia atoe,Koffi anasema hahitaji mtoto nje ya ndoa,Koffi ana mke wa ndoa na watoto wanaishi Paris,Huyu Cindy ni kama msukule tu,pozeo,yaani mpaka namuhurumia.Cindy ana kipaji na angeweza hata kuimba Solo na kumiliki bend yake,ila ndo hivyo kishakuwa pozeo la koffi wakati Mke wa Koffi akiwa analea watoto Paris.Na koffi anasemaga wazi wazi kabisa kuwa mali zake zote ni za wanae na mkewe na mahawara hawana chao.

Hivi wanawake dizaini hii huwa wana matatizo gani?. Ni kukosa kujiamini, au ni ile hali ya kujiona kuwa wao ni dhaifu mbele ya wanaume?. Matukio kama huwa yananivuruga akili.
 
Inawezekana kalamba hela za watu akafanya kiki ya kumpiga huyo dada ili arudishwe hahahaha

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Sio kwa Kenya, alambe pesa asepe. Wenzetu wapo makini jamaaa ile kesi analipa pesa aliyochukua kama advance
 
PAMELA-OLOMIDE DID NOT ASSAULT ME!

The victim, identified as Pamela, has, however, denied that she was assaulted by the Selfie hit-maker despite the action being caught live on camera.

“Dear fans of Koffi Olomide, I would like to tell you that Koffi did not attack me, it was a girl at the airport that was threatening me and Koffi came to defend me…Koffi can never beat us in public, and we all know that Koffi loves his dancers and he can never do something like that,” said Pamela in a video shared on Koffi Olomide’s Facebook page Friday.

She added: “For your information, Koffi does not beat us. For all those who love Koffi, I want to tell you that Koffi is not someone who is aggressive… he loves us very much and it’s just a girl who came and started attacking us. As far as we are concerned, we don’t have any problem. We came for a concert. We are in good terms with Koffi. He is our president and he never harms us.”
Koffi Olomide on his side expressed disappointment at how social media users and a section of his fans in Kenya reacted to his alleged assault.

“I watched the video with a lot of distress where it seems that I was assaulting one of my dancers. On the contrary I was defending my dancers from a lady who was threatening them at the airport. I respect women and everyone knows that I do.

I would like to apologize to all women because of my actions but I was defending my dancers.”
Mhh, kujitetea kumeanza
 
Minister of Gender! This, in a country where men are routinely been battered, castrated and murdered by women.
What a hypocrisy!
Gender does not mean 'women' alone.
Classy words
 
Kwenye hii video ya The Citizen TV inaonyesha kwa umakini kabisa tukio zima kulinganisha na video nyinginezo zilizagaa kwenye mitandao.

Koffi akiwa kwenye mahojiano na mwandishi wa The CitizenTV ambaye alimbana vizuri kwa weledi mkubwa (very professional...ndio maana nawapenda Wa Kenya kwani sio kama TV zetu za Bongo kama kule Cloud TV🙂 pamoja na yule Dancer in question.

Nilichobaini ni kuwa Koffi amekuwa akijichanganya kwa maelezo ya yake mwenyewe muda wote wa mahojiano. Amekuwa akisisitiza muda wote wa interview kwamba alikuwa akijaribu ku defend dancers wake kuibiwa ati na kibaka. Lakini muda wote clip inaonyesha akipiga dancer wake badala ya huyo kibaka anayemtaja (amabye hayupo kwenye tukio🙂. Lakini wakati huo huo baada ya kubanwa kwenye kona anasema amekuwa akijaribu kusulisha ugomvi wa madancers wake ambao ulikuwa kuanzia safarini kwenye ndege.

Hitimisho:
Nilichobaini ni kuwa alijisahau na ku take a side kwa kuanza kumpanishi yule "dancer in question" ( Pamela) baada ya kuingia kwenye bifu na bibi yake Koffi ambaye pia vocalist kwenye bendi hiyo yaani Cindy Le Cuor tokea wakati wako safarini kwenye ndege kutokea kwao. Nilichoshangaa ni kwa nini Koffi ameshindwa kulikubali hilo. simple!

Alipaswa kutumia busara kama Papa na Prezoo wa Bendi badala ya kuvurumisha miteke kwa msichana ambaye bado anahitaji ulinzi na usimamizi wake.

Nathubutu kusema Koffi unamuona alikuwa na majuto, mpole aliyekuwa akijaribu kuonyesha kiala uungwana na kubaini kuwa alijisahau na kupitiliza. Lakini ilikuwa bahati mbaya kwani mkono wa dola ulishachukua nafasi. Naamini tukio litakuwa limempa changamoto na atakuwa amejifunza kitu fulani. Natumai pia hili litakuwa tukio la mwisho 'hasi" katika career yake ya muziki wa dansi.

Hebu chungulia na wewe video yenyewe.

Citizen weekend: Koffi Olomide on the spot

Wakenya wanafiki.

Mbona Gavana Kidero alimpiga kofi mbunge Rachel Shebesh na hakufanywa kitu?

Na mpaka leo hii bado ni gavana!

Upuuzi mtupu.
mkuu, gavana Kidero na yule madam Rachel Shebesh waliamua kumaliza ule mzozo wao nje ya mahakama wao kwa wao, sasa huyu Koffi Olomide substantially lacked qualms and didn't display even a fraction of remorse for his misdeeds. watu pia huwa wanaaangaliaga majuto ya mtu baada ya tukio, ila huyu jamaa alionesha kiburi kana kwamba his is of the higher station na yupo juu ya sheria akidhani kwamba umaarufu wake na uwezo wa kifedha ungeweza kumlinda
 
Kashishi Cindy hajazaa na koffi,akibeba mimba koffi anamwambia atoe,Koffi anasema hahitaji mtoto nje ya ndoa,Koffi ana mke wa ndoa na watoto wanaishi Paris,Huyu Cindy ni kama msukule tu,pozeo,yaani mpaka namuhurumia.Cindy ana kipaji na angeweza hata kuimba Solo na kumiliki bend yake,ila ndo hivyo kishakuwa pozeo la koffi wakati Mke wa Koffi akiwa analea watoto Paris.Na koffi anasemaga wazi wazi kabisa kuwa mali zake zote ni za wanae na mkewe na mahawara hawana chao.
haaaaa!!!!yani Hao wadada wazima au?!
aiseee mpk nimeshtuka mi nlijua ni mkewe kumbe kimada tu!!
daah!wanawake siee!!
 
mkuu, gavana Kidero na yule madam Rachel Shebesh waliamua kumaliza ule mzozo wao nje ya mahakama wao kwa wao, sasa huyu Koffi Olomide substantially lacked qualms and didn't display even a fraction of remorse for his misdeeds. watu pia huwa wanaaangaliaga majuto ya mtu baada ya tukio, ila huyu jamaa alionesha kiburi kana kwamba his is of the higher station na yupo juu ya sheria akidhani kwamba umaarufu wake na uwezo wa kifedha ungeweza kumlinda
Kitendo alichokifanya Kidero ni disqualification ya kuendelea kuwa gavana hata kama kisheria waliyamaliza na Shebesh.
 
Ni kweli kabisa. Koffi husifika sana kwa sifa ya ushirikina ('Ulozi' kama wenyewe waitavyo kule DRC) akihusishwa zaidi na Mama yake mzazi inadaiwa na kusemekana kuwa ati ndiye "Gwiji" na mhimili wake mkuu katika mafanikio yake ya kimuziki.

Nakumbuka safari moja nilikuwa jijini Kinshansa, DRC na ilikuwa wana long weekend holiday pale. Ikatokea kwamba weekend hiyo Koffi naye alikuwa anapiga show ya kufa mtu pale Hilton Hotel. Hii ilikuwa show ya oldies but goodies (yaani Bakulutu... aka "Rumbha Solosolo" ikiwa lengo ni pamoja na kuwaenzi nyimbo za wanamuziki wa kale...achana na hii abrakata anayopigia show za vijana siku hizi.

Nakumbuka kiingilio ilikuwa $100.00 kila kichwa.Tulipofika dirisha ya kuhakiki na kununua tiketi mwenyeji wangu alinitonya kuwa huyo Bi mkubwa anayechukua pesa (Cashier) ndio Mama mzazi wa Koffi. Binafsi nilishangaa sana nikauliza mwenyeji wangu kwani huyu jamaa hana management team. Nikaambiwa Koffi anapopiga show Kinshansa mshika pesa ni mama yake. Na hata hiyo inayoitwa 'management team' inamgwaya huyo mama jinsi alivyokuwa authoritative.

La mwisho ni kuwa kuna jambo moja ambalo nimeli note ambalo kwa Koffi liko tofauti na wanamuziki wengine. Koffi Olomide nimemuona hapendi ku entertain (au ku encourage) habari ya 'kumtunza' awapo jukwaani akiwajibika. Unamuona kabisa kuwa hapendi au hakaribishi au siyo rafiki wa hiyo tabia. Na akiipokea ile pesa huwa haitii mfukoni mwake kama wanamuziki wengine tuliowazoea wawapo majukwaani. Yaani akipokea tu huziweka (kusanya) zile pesa kwenye sakafu. Na yeye siye ataondoa hizo pesa kwa floor. Nimekuwa nikijiuliza na hii nayo ni nini au ndio masharti ya wale jamaa ma consultants🙂 (akina Babalao au Sangoma) Hahaha

Haya bwana wikiendi njema.
anaogopa chuma ulete
 
Back
Top Bottom