Koffi olomide selfie pt 2..selfie tournevis

Koffi olomide selfie pt 2..selfie tournevis

Aiseee! ni noma kweli mkuu, sipendagi miziki ya aina hii, ila kupitia hii ngoma(original yake) nimeipenda kiukweli..
 
kuna jamaa hapo anacheza sana nilidhani Bouro Mpela karudi kundini.sio yeye wamefanana tu
 
miye inagoma kupakuliwa kupitia tubemate naomba msaada tafadhari wadau
 
Back
Top Bottom