Koffi Olomide: Special Thread

Koffi Olomide: Special Thread

Mapemaaa
C511E41E-347F-45C4-8A29-9179165AF464.jpeg
 
Kiingilio laki moja au milioni moja kwa meza moja yenye viti kumi na tiketi zote zimenunuliwa masaa 24 kabla ya show.


# Gracious Mopao.

# Muziki ya wakubwa.

# Somo kwa Diamond na wenzake: Acheni kupiga show za bure. Zile show Diamond unalipwa na kampuni Dola elfu arobaini upige show ya bure uwanjani kwa AJILI ya kupromote bidhaa au huduma za kampuni hiyo mwisho wa siku zitakuja kuua biashara ya show za muziki Tanzania.

Hiyo itawazoeza vibaya watanzania na mwisho wa siku ukipiga show ya kiingilio people won't show up.

# Kuuza album ilikufa.

# Show za mtu mmoja nazo zilikufa.

# Now mnataka kuua kabisa biashara ya show.

Jifunzeni kwa management ya Koffi. Asas wametoa kibunda cha kutosha kwa Koffi na show kiingilio laki na tiketi zote zimenunuliwa

Usimfananishe mopao na vitu vya ajabu ajabu kaka...huyo domo kazi ni kusambaza DNA tu ndo analojua na nyimbo matusi kama you..

Mopao tunamsikia tangu miaka ya tisini mpaka leo yako na ana hit kwenye chat...that guy is legend...
 
Kuna live performance moja ya Mbosso nilisikiliza alikuwa anaimba sjui tuzo gani zile aisee sjui alikuwa na stress but inshort hakuimba kitu.Wasanii wetu wawe wanafanya practise za kutosha kabla ya shoo zao Sio mtu hujiandai vizuri unategemea u perform live vizuri
 
Back
Top Bottom