hv mshaisahau Zari all white part ilikuwaje tena diamond akiwa sio huyu wa sasa Na ndio show iliyoingiza pesa nyingi kuliko show yoyote iliyowahi fanyika hapa bongo mpaka sasa
je itakuwaje afanye sasa
hujanielewa...?Shiw kubwa bongo kuliko zote ilikua ya kanda bongoman miaka ya tisini huko kiingilio kilikua laki moja
Halafu ushasema Zari all white party kwa sasa haitawezekana,zari hatumiki ovyo ujue.

hujanielewa...?
Zile enzi za laki si pesa zilishapitaMopao katisha na inathibitisha bado ana washabiki wengi Tanzania, ila laki parefu.
kipaande cha mwisho cha wimbo huu pia amekitumia kwenye wimbo wake wa JEUNE PATO.........Waweza kifaidi zaidi hapoFOUTA DJALON
Kumbuka pia bendi ya KOFFI OLOMIDE ndiyo ilikuwa chanzo cha FERRE GOLA kupanda kwenye chati ya music mwaka 2005-2006,Mopao Dawa yake anaichemsha Ferre Gola...ni suala la muda.
===
ila Koffi kuna mipini fulani hivi ikipigwa "huwa na sitisha baadhi ya shughuli" . Uwezo anao.