Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Shiw kubwa bongo kuliko zote ilikua ya kanda bongoman miaka ya tisini huko kiingilio kilikua laki moja
Halafu ushasema Zari all white party kwa sasa haitawezekana,zari hatumiki ovyo ujue.
Halafu ushasema Zari all white party kwa sasa haitawezekana,zari hatumiki ovyo ujue.
hv mshaisahau Zari all white part ilikuwaje tena diamond akiwa sio huyu wa sasa Na ndio show iliyoingiza pesa nyingi kuliko show yoyote iliyowahi fanyika hapa bongo mpaka sasa
je itakuwaje afanye sasa