Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,998
- 8,339
bado UPO GAIRO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado UPO GAIRO
hv mshaisahau Zari all white part ilikuwaje tena diamond akiwa sio huyu wa sasa Na ndio show iliyoingiza pesa nyingi kuliko show yoyote iliyowahi fanyika hapa bongo mpaka sasa
je itakuwaje afanye sasa
Weka na ule unaotamba sasa hv
Cheki live performance ya diamond akiwa Denmark Jon StephanoBongo fleva wana mengi kujifunza kupitia hii shoo ya leo manake hapa KISANOLA linapigwa acha kabisa.
Na hii live performanceBongo fleva wana mengi kujifunza kupitia hii shoo ya leo manake hapa KISANOLA linapigwa acha kabisa.
Huyu dingi ninachomkubali ni kuwa anaimba live mwanzo mwisho!Sio wale wasanii wakutupigisha mashabiki makelele!
Kwani diamond aliwahi kujaza mlimani city hapo one man army shoo kiingilio kilikuwa 50kAache kupiga show za bure. Anyways kama.ni rahisi afanye tuone
Huna hela[emoji3]Mopao katisha na inathibitisha bado ana washabiki wengi Tanzania, ila laki parefu.
Sema huna hela, wenzako wanalipa laki na zaka wanalipa laki hata 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia hii hakunausawa kabisa natumia Itel ya tsh tisi na tank elfu na in mpyaa kabisa
we ni kama mm tuMkuu kama ni hela ninazo sana tu lakini siwezi toq laki kwajili yq kwenda kumtazama binadabu mwenzangu live jukwaani
Sent using Jamii Forums mobile app