Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
koffi olomide?Wakuu nimeumia saana yaani ajapambana hata dakika kumi mkanda Lesnar mshenzi sana
Koffi Anan.Koffi Olomide au mwingine siwaelewi mjue..
Wacha dakika kumi, hata dakika mbili hazikupita tokea kengele ilipopigwa!!!Wakuu nimeumia saana yaani ajapambana hata dakika kumi mkanda Lesnar mshenzi sana
Huyo ndiye kiboko ya Lesnar, alishamchakaza kule UFC.Jamaaa juzi sijui alipanik sana..yani moja tu kabebwa kapigwa finishing, mkanda umeondoka!
Mechi nilitenga mda niicheki ila Koffi alizingua sana pamoja na kwamba ilionekana kama lesnar anaeza shinda!
Lesnar ni mbishi sana!
Lesnar atapambana na yule aliye-interfere baada ya ushindi!
Hahaha...kweli kila mtu na starehe yake, sikutegemea kama kuna mwanaume anaweza kaa akapoteza muda wake kuangalia hayo maigizo ya mieleka na kufikia hatua ya kuanzishia uzi humu, wengi wanajua kinachotokea hapo ni halisi wakati ni script inachezwa.koffi olomide?
maana walau music tunasikia kuna koffi olomide mwingine alikwa koffi annaan alishakufa sasa kuibuka na jina kofi sikuelewa wengine wahenga jamani! ila tukio mchanganyiko ni vema mtu akianzisha thread basi aidadavue wengi wajue vinginevyom anakuwa ananena kwa lughaHahaha...kweli kila mtu na starehe yake, sikutegemea kama kuna mwanaume anaweza kaa akapoteza muda wake kuangalia hayo maigizo ya mieleka na kufikia hatua ya kuanzishia uzi humu, wengi wanajua kinachotokea hapo ni halisi wakati ni script inachezwa.
mkuu siwezi kukuamini kwa kuandika tu toa ushaidi ili watu wakuelewe au nawewe unaskilizaga stori za vijiweni tu na kuamini.Hahaha...kweli kila mtu na starehe yake, sikutegemea kama kuna mwanaume anaweza kaa akapoteza muda wake kuangalia hayo maigizo ya mieleka na kufikia hatua ya kuanzishia uzi humu, wengi wanajua kinachotokea hapo ni halisi wakati ni script inachezwa.
Tumeubwa tofauti mkuu mm hua naumia sana nikikosa mieleka. Ila siwezi kutizama mpira wa miguu na nikitizama kesho siwezi hata kumkumbuka aliefunga goli.Hahaha...kweli kila mtu na starehe yake, sikutegemea kama kuna mwanaume anaweza kaa akapoteza muda wake kuangalia hayo maigizo ya mieleka na kufikia hatua ya kuanzishia uzi humu, wengi wanajua kinachotokea hapo ni halisi wakati ni script inachezwa.
nimekuelewa vizuri mkuu.maana walau music tunasikia kuna koffi olomide mwingine alikwa koffi annaan alishakufa sasa kuibuka na jina kofi sikuelewa wengine wahenga jamani! ila tukio mchanganyiko ni vema mtu akianzisha thread basi aidadavue wengi wajue vinginevyom anakuwa ananena kwa lugha
aisee.... ni wa wapi na kapigwa kwa KO au points.... kafanya uzembe gani huyu koffi??koffi kingstone mkuu